Analog Tv receiver

PRINCEd

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2015
Posts
862
Reaction score
625
Wadau nimekuwa nikipita mtandao wa Alibaba uwa naona vifaa kama hivi chini(kwenye picha) vinafana na USB flash vimeandikwa Analog Tv receiver kwa maana vinaweza nasa free to air channel na bei yake ikiwa ndogo dollar 14 mpaka dollar 30....
Nataman kujua....
1. Je ni kweli vnaweza kunasa chanell za bure?
2. Kama jibu ni ndyo je vyaweza tumika hata huku tanzania?
3. Vinatumikaje?
4. Kuna haja gani ya kuwa na decoder ya Laki wakati unaweza pata kwa 30000/=
5. Tanzania vinapatikana? Bei yake? Accurance yake??
Naomba Kuwasilishaa


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Analog Tv receiver

nnayo iyo ya blue apo juu, ni DVB-T1, utapata baadhi ya FTA channels kwa minara ya star times, frequency range 450 - 860 MHz , PLUS analog Redio zote kwa FM 87 - 108 MHz

ila sasa kunasa izo tv channels inabidi utumie antenna yao ya star times (dipole) sio icho kitakataka apo juu (monopole) , na uwe eneo ZURI , izo monopole ni kwa ajili ya DVB-T2 tuner ( ya pili kwenye picha )
 
Mkuu mimi niko mwanza Maeneo ya kirumba naweza channel kupata na zinapatikana wapii hizi? Ni channel gani ww unazipataaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…