miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,802
- 49,109
Thread zingine kuzielewa lazima ubongo/brain uwe na umeme wa gredi ya taifa.
Au unywe kiroba
Thread zingine kuzielewa lazima ubongo/brain uwe na umeme wa gredi ya taifa.
wengine hatujakuelewa umeongea kama umetoka chooni vile
Eti wadau kuna ubaya gani mtu kugonga vitu vitamu? ikumbukwe mimi ni me.
Najaribu kumuelewesha haelewi, najitahidi kumwambia anipende kama nilivyo but kazi bure, ukizingatia sijawai fanya uchizi kutokana na vitu vitamu hivyo nnavyogongaga, nafanya hivyo reasonably but yeye analetaga za ulokole! chaajabu ni kwamba anakua mlokole hapo tu linapokuja swala la kutoa vitu vyetu anatoaga tu bila hiana. na ukizingatia nimeshaingia kingi! tena wakutosha tu! yeye anakete nne nami nimezuia main road na kingi wangu!!!!!
Ivi kwanini ke mnasema mnatupenda na wakati huo huo mnatuekeaga matobo ya kupenya na kutoroka?
wengine hatujakuelewa umeongea kama umetoka chooni vile
Ndiyo hakuna kitu kitamu kama kiroba hapa duniani
Eti wadau kuna ubaya gani mtu kugonga vitu vitamu? ikumbukwe mimi ni me. Najaribu kumuelewesha haelewi, najitahidi kumwambia anipende kama nilivyo but kazi bure, ukizingatia sijawai fanya uchizi kutokana na vitu vitamu hivyo nnavyogongaga, nafanya hivyo reasonably but yeye analetaga za ulokole! chaajabu ni kwamba anakua mlokole hapo tu linapokuja swala la kutoa vitu vyetu anatoaga tu bila hiana. na ukizingatia nimeshaingia kingi! tena wakutosha tu! yeye anakete nne nami nimezuia main road na kingi wangu!!!!! Ivi kwanini ke mnasema mnatupenda na wakati huo huo mnatuekeaga matobo ya kupenya na kutoroka?
wengine hatujakuelewa umeongea kama umetoka chooni vile
Hivi kwanini hivi viwanda vya kutengeneza viroba havifungiwi vinaharibu vijana wetu.
Kama mdau hapa anaonekana ubongo umeoza kwa viroba hajui ata anaandika nini!
Reasonably na kwa kuzingatia jinsia yake nitakubali.
Mkuu wasioelewa achana nao,we endelea kula vitu vitamu tu mkuu kamwe mwanamke hawezi kukuunga mkono kwenye ishu kama hiyo ikiwa yeye mwenyewe hapigi vitu vitamu.
Kama mchezo hazingui basi kashakuelewa cha muhimu mchezo habanii.....,
Ila sharti moja isiwe too much mpaka imboe kupitiliza..!
Salute to Gambeee!
stupid boy hii lugha gani ya kuwaandikia dada zako na kaka zako?????
Wewe Mashaxizo wewe unanichekesha sana...'eti analeta ulokole wakati kwenye mambo yale kiulaini' kumbe ni muumini na wewe eh? Basi na wewe umtege siku umwambie unajua na hii ni dhambi??? Ila bana hivyo vitu vyenu vitamu vinaondoaga stimu ndo maana hatuvipendi hata kupata french tu inakuwa shida.