Mi nieleweshe kuhusu grimoire ya papa honorius, hiki kitabu mi sikielewagi,mbona kina kama mambo ya kichawi halafu ktk practice zake na Zaburi tena zimetumika kukamilisha uchawi Ili mtu apate matokeo anayoyataka?? Kwani hiki kitabu cha Zaburi si ni kitakatifu kabisa na hua naskia wachawi...