miss mike
Senior Member
- Aug 25, 2015
- 176
- 247
Kumbe kuna other sides of the story,mkuu haya yite ungemalizia kule kule juu kwenye uzi,maana naona watu wengi wanamshutumu baba k wakati nae ana msaada mkubwa sana kwa huyo mtoto regardless hamlipii ada!Hapo busara inatakiwa kutumia ukizingatia Baba k ni mtu anaejitolea sana kwa huyo mtoto wake wa kufikia!Huyo mbwiga ndo anaishi nae lakini baba mtoto hawezi kuishi na mwanae maana nae ni wale wakaka wa mjini umri mkubwa bado bachelor kutwa kuingia home na videmu tofauti daily hayo si mazingira ya kulelea mtoto kwahiyo amshukuru baba K kwa kumpa mwanae mazingira ya kifamilia.
Anybody can be a father,but it takes a special Man to be a Daddy, And Baba K is definitely a 'Dad'