Analazimisha kunioa

kwahiyo unahisi mtu afai kuwa baba bora ila still utakuta mnalala n.k 😁😁😁 Dunia ya sasa kweli tambala.
 
Umepewa option, akuoe, umzalie mtoto, au muachane, Sasa unasemaje anakulazimisha?
Nb: miaka mitatu unamchunguza na Bado hujapata jibu? we ni FBI
 
Miaka mi3 anakubandua bila ndoa, sawa sio kesi kama unataka ndoa na unamuona jamaa sio wa ndoa, vipi bado uko nae.
πŸ€”πŸ€”πŸ€”
Huenda ww ndio ukawa sababu ya kumbadiili na ndio alichokiona na ndio maana anakuhitaji

Kaa nae chini mpe uhalisia
 
Nnachojua ni kua kila binadamu anakasoro zake
Vyema kuzibeba na kusaidiana maisha yaendelee

Ooops nmekosea
Achana nae njoo kwangu
Nna peleka moto vizuri
 
Ushauri wa kiutu uzima huu.
Asipoufuata, ninatabiri ataangukia kwenye mikono ya bazazi!
 
Saa kumi na mbili jioni unachagua mume ,mtu umekaa nae miaka mitatu bado tu haujajua Kama anaweza kuwa baba,haya baada ya krismass mbili uje kwa mwamposa kutafuta mume
 
mpe tiGo
 
Km ukimpiga mizinga yote anatoa vizuri .....yan hakuna mzinga anao pangua ...ujue anakuelewa sana

Usipoteze time kamtambulishe chap
 
Asipokuelewa hapa, nampa pole mapema.

Labda kama starehe zake zinaathiri mahusiano yao, lakini huenda ni kisirani na marafiki wabovu alionao mleta uzi ndo wanamshauri ampige chini jamaa
 
Kama una uhakika hayawezi majukumu usiolewe nae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…