Analazimisha awajue ndugu zangu.

Analazimisha awajue ndugu zangu.

wenzako wanalilia wanawake wa kuwauliza tu hata jina la baba yako we anataka ajulikane hutaki ehe Jehova ebu mpe slay queen huyu kijana
 
Hamna jema kwa kweli, akiwapenda ndugu ana kiherehere akiwachukia anawachukia ni shida yaani.
 
Anatafuta security yaani awe na sehemu ya kukushitaki ukimbwaga ili uanze kuonekana hovyo kwa wazee mimi upumbavu huo nilishakataaga aisee
 
Nyie viumbe hamna jema kabisa mkipendwa mnalalamika hivi huwa mnataka ninii kama hapo unaona kama usumbufu huwa hamjui ninii mnataka
Kuwa na wewe haimanishi tayari nimeisha kukubali 100%, mshamba mmoja nilimpeleka kwa anti demu mmoja kichwa maji, siku si nyingi badae akanivuruga nilimtema kama kohozi..!
 
Hamna jema kwa kweli, akiwapenda ndugu ana kiherehere akiwachukia anawachukia ni shida yaani.
Muwe kama sisi, sometime tunakuwa bado tunafanya intelligensia sasa nyie kiherehere chenu mnataka kwenda mbio.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom