Mr mgeni
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 1,222
- 810
Habari za mda huu,
Nipo kwenye mahusiano na binti mmoja wa hapa mjini yapata miezi 3,cha ajabu anataka nikamtambulishe nyumbani kwetu,eti mama,baba na ndugu zangu wamjue.Najiuliza sipati jibu mbona ni mapema sana anakua na kisebusebu na ana kiherehere balaa nikiongea tu na simu kama hata ni na mama nae akiwemo hapo anadakia sim anataka aongee nae.Tabia yake inanikera sana namvumilia tu,Sasa sijui ndo upendo wa dhati au anataka kunisolola tu.Au ndo tabia zenu wakina dada ya kutaka kujulikana ukweni haraka?Nijuzeni basi nijue.