Analalamika kuwa mke wake hamuandalii wala kumuita chakula kikiwa tayari na anamuachia ‘dada wa kazi’ afanye hivyo

Lyamber

Lyamber

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2012
Messages
8,319
Points
2,000
Lyamber

Lyamber

JF-Expert Member
Joined Jul 24, 2012
8,319 2,000
Angeoa dada ake, huyo ni mtu mwingine mwenye utamaduni mwingine hvyo asiikuze sana hilo suala. Ashukuru ht chakula kinaandaliwa anakula huo utemi mwingine eti wa mpk m'mke akukaribishe ndio ule auache kwao. Asilazimishe kufanyiwa aliyokuwa anafanyiwa baba yke.
Alisikika mmachame mmoja akilalama
 
luckyline

luckyline

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2014
Messages
10,490
Points
2,000
luckyline

luckyline

JF-Expert Member
Joined Aug 29, 2014
10,490 2,000
Mazoea bana mpaka uzoee tamaduni za watu shida, kwetu hatuwezi msalimia mtu mzima bila kipiga magoti, hata Mme lazima umpigie magoti, wakati wa kumpa chakula etc

Sasa kuna sehemu nilienda kutembea nilipata taabu sana mm nasalimia. Watu wazima nimepiga magoti wa huko sasa, hata vitoto vidogo vinasalimia viko wima kama minara ya voda. Yaan niliteseka maana niliona aibu kuwasalimia watu wazima nimesimama. Nikawa kapiga magoti wananishangaa.😁😁

Huyo mwanaume, aongee na mkewe amwambie anataka nn Mke atabadilika.
 
L

LadyRed

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2016
Messages
5,953
Points
2,000
L

LadyRed

JF-Expert Member
Joined Mar 19, 2016
5,953 2,000
Mhh yaonekana either:
bidada alikua anaigiza kabla ya ndoa

Ama uhalisia wa majukumu mengi ya nyumbani anashindwa kumpetipeti vizuri
 
L

LadyRed

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2016
Messages
5,953
Points
2,000
L

LadyRed

JF-Expert Member
Joined Mar 19, 2016
5,953 2,000
Mazoea bana mpaka uzoee tamaduni za watu shida, kwetu hatuwezi msalimia mtu mzima bila kipiga magoti, hata Mme lazima umpigie magoti, wakati wa kumpa chakula etc

Sasa kuna sehemu nilienda kutembea nilipata taabu sana mm nasalimia. Watu wazima nimepiga magoti wa huko sasa, hata vitoto vidogo vinasalimia viko wima kama minara ya voda. Yaan niliteseka maana niliona aibu kuwasalimia watu wazima nimesimama. Nikawa kapiga magoti wananishangaa.😁😁

Huyo mwanaume, aongee na mkewe amwambie anataka nn Mke atabadilika.
Labda amkumbushe alivyokua Tanga alizoea kuona baba anakaribishwa

Na mchaga nae atoe mrejesho kwao ilikuaje

Kisha waamue way forward
Kubadili tabia ni mtihani ni kama ngozi
 
L

LadyRed

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2016
Messages
5,953
Points
2,000
L

LadyRed

JF-Expert Member
Joined Mar 19, 2016
5,953 2,000
Kama inakuletea furaha piga chini uanze safari upya.
We only live once. Kwa nini uanze kuteseka na mtu mmekutana ukubwani!?
Kama hakufundishwa na mama yake kabla hajaolewa aishi peke yake tu.
Unaacha mke simply bcz hajasema karibu?..

Mbona huna shukrani kuwa hata kapika ulicholeta ili mle?.
 
BABA TUPAC

BABA TUPAC

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2015
Messages
1,364
Points
2,000
BABA TUPAC

BABA TUPAC

JF-Expert Member
Joined Sep 30, 2015
1,364 2,000
Kuna baadhi ya mambo hua nikisikia nashangaaga sana! Mimi sijui sababu nimekua nikijitegemea kwa muda mrefu!! Nakumbuka nimeanza kuishi mwenyewe boarding school na kila kitu nikiwa na 13yrs hivi. Nimeanza kuishi na mwanamke nina 25yrs. Ukweli sijaonaga sababu ya kuandaliwa chakula au hata kufuliwa. Nikitoka kazini nikikuta chakula nakula nisipokuta sio kesi napika mwenyewe na wide yupo anaangalia tv sipendagi sumbua watu kbs. Lkn unakuta mtu anaweza acha mkewe eti hajakaribishwa chakula!? Kweli!? Kweli hua sielewagi.. wanaume hebu wapeni wake zenu uhuru vitu vidogo maliza mwenyewe! Mfano mke wangu hapendi dagaa na maharage mimi siku nipo home napika dagaa zangu vzr na maharage mafreeze siku ninahamu natoa napika ugali wangu safi!
Hongera kwa kuolewa mkuu
 
Ushimen

Ushimen

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2012
Messages
21,934
Points
2,000
Ushimen

Ushimen

JF-Expert Member
Joined Oct 24, 2012
21,934 2,000
Kweli kwenye miti hakuna wajenzi.
Sasa jamaa anasubiri nini kumtafuna huyo h/girl..!!??
Wanaume wengine ni wahovyo sana, maana wanatuangusha sisi tunao tafutaga nafasi kama hizi (golden chance
 
L

LadyRed

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2016
Messages
5,953
Points
2,000
L

LadyRed

JF-Expert Member
Joined Mar 19, 2016
5,953 2,000
Khaaa ni vile umeshaoa. Wanaume wa sikuhizi nao wanatakiwa wapate kitchen party maisha ya sasa yamebadilika sana, mnakuta ndani wote mnafanya kazi tofauti na zamani kwahyo lzma tukubali baadhi ya mambo au umwinyi wanaume wapunguze. M'mke nae ni mtu ana nyama nae huchoka pia, kusaidiana vitu vdogo havibadilishi jinsi yako
Ni mtihani baadhi ya Waume
Kuna mmoja alinuna kisa hajapakuliwa na mke mezani..mke alikua analisha mtoto hapo
Ilibidi mke aje juu kwamba ss amhudumie yeye au mtoto mdogo alie helpless.?mbona anampa kazi ngumu sana,.?

Ni muhimu kuchukuliana
Ukute mda wote mke anapika mume kanyoosha kwenye TV..
Mke umepika unasuuza vyombo uache jiko safi ndo uje ule na wewe mtu kashanuna tiari kisa hajaitwa na wewe.

Ndoa ni kuchukuliana..vyema kuona mzigo wa mwenzako ukaelewa
 
F

fisi 2

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2010
Messages
1,855
Points
2,000
F

fisi 2

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2010
1,855 2,000
Interview yangu ya kwanza kitandani ya pili Jikoni ndio ukalete CVS . My principle anaenihudumia mimi ndio mke. Mwingine msindikizaji.
 
harder king

harder king

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2017
Messages
2,961
Points
2,000
harder king

harder king

JF-Expert Member
Joined Jan 21, 2017
2,961 2,000
Kuna baadhi ya mambo hua nikisikia nashangaaga sana! Mimi sijui sababu nimekua nikijitegemea kwa muda mrefu!! Nakumbuka nimeanza kuishi mwenyewe boarding school na kila kitu nikiwa na 13yrs hivi. Nimeanza kuishi na mwanamke nina 25yrs. Ukweli sijaonaga sababu ya kuandaliwa chakula au hata kufuliwa. Nikitoka kazini nikikuta chakula nakula nisipokuta sio kesi napika mwenyewe na wide yupo anaangalia tv sipendagi sumbua watu kbs. Lkn unakuta mtu anaweza acha mkewe eti hajakaribishwa chakula!? Kweli!? Kweli hua sielewagi.. wanaume hebu wapeni wake zenu uhuru vitu vidogo maliza mwenyewe! Mfano mke wangu hapendi dagaa na maharage mimi siku nipo home napika dagaa zangu vzr na maharage mafreeze siku ninahamu natoa napika ugali wangu safi!
Aisee!! Aisee! Aisee!...we na house girl tofauti yenu ni kwamba mmoja analipwa na mwingine ni mtumwa,full stop!...sasa jitafakari!
 
M

mwakiri

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2018
Messages
311
Points
500
M

mwakiri

JF-Expert Member
Joined Jul 31, 2018
311 500
Ndio Hawa mke Yuko sebuleni yeye anatumwa kupikia wageni.
Ujinga tu, eti maisha yamebadilika.
Yaani hapo Ni Kama anaishi na mwanaume mwenzie tu.
Mkuu na mimi nakazia kama umeamua kumsaidia mkeo co mbaya lkn nakujifu juu eti mimi nafua usikute mpaka chupi ya mkewe anamfulia mitihan unaenda kumtembelea kijana wako unamkuta jikon huko kajaa moshi mke yupo anatizama tv
 
Juuchini

Juuchini

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2018
Messages
705
Points
1,000
Juuchini

Juuchini

JF-Expert Member
Joined Dec 10, 2018
705 1,000
Dah tunatofautiana kinyama! Yaani Mimi nagombana na mke wangu kila siku kisa kunipigia chakula kikiwa tayari.
 
M

mwakiri

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2018
Messages
311
Points
500
M

mwakiri

JF-Expert Member
Joined Jul 31, 2018
311 500
Mazoea bana mpaka uzoee tamaduni za watu shida, kwetu hatuwezi msalimia mtu mzima bila kipiga magoti, hata Mme lazima umpigie magoti, wakati wa kumpa chakula etc

Sasa kuna sehemu nilienda kutembea nilipata taabu sana mm nasalimia. Watu wazima nimepiga magoti wa huko sasa, hata vitoto vidogo vinasalimia viko wima kama minara ya voda. Yaan niliteseka maana niliona aibu kuwasalimia watu wazima nimesimama. Nikawa kapiga magoti wananishangaa.

Huyo mwanaume, aongee na mkewe amwambie anataka nn Mke atabadilika.
Ckaambiwa akaoe mke mwingine mkuu na mtu akijirusha na beki tatu mnapiga kelele sasa kila kitu beki tatu kama uko chumban aje agonge baba chakula tayar mke anatizama tv
 
Modrizzy

Modrizzy

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2018
Messages
570
Points
1,000
Modrizzy

Modrizzy

JF-Expert Member
Joined Sep 22, 2018
570 1,000
Mazoea bana mpaka uzoee tamaduni za watu shida, kwetu hatuwezi msalimia mtu mzima bila kipiga magoti, hata Mme lazima umpigie magoti, wakati wa kumpa chakula etc

Sasa kuna sehemu nilienda kutembea nilipata taabu sana mm nasalimia. Watu wazima nimepiga magoti wa huko sasa, hata vitoto vidogo vinasalimia viko wima kama minara ya voda. Yaan niliteseka maana niliona aibu kuwasalimia watu wazima nimesimama. Nikawa kapiga magoti wananishangaa.

Huyo mwanaume, aongee na mkewe amwambie anataka nn Mke atabadilika.
Wachaaa wee hii tabia bado ipo au ulivyoingia town yenyew ikapanda basi ikarud nyumban
 
kijazi07

kijazi07

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2016
Messages
375
Points
500
kijazi07

kijazi07

JF-Expert Member
Joined Feb 14, 2016
375 500
Kuna baadhi ya mambo hua nikisikia nashangaaga sana! Mimi sijui sababu nimekua nikijitegemea kwa muda mrefu!! Nakumbuka nimeanza kuishi mwenyewe boarding school na kila kitu nikiwa na 13yrs hivi. Nimeanza kuishi na mwanamke nina 25yrs. Ukweli sijaonaga sababu ya kuandaliwa chakula au hata kufuliwa. Nikitoka kazini nikikuta chakula nakula nisipokuta sio kesi napika mwenyewe na wide yupo anaangalia tv sipendagi sumbua watu kbs. Lkn unakuta mtu anaweza acha mkewe eti hajakaribishwa chakula!? Kweli!? Kweli hua sielewagi.. wanaume hebu wapeni wake zenu uhuru vitu vidogo maliza mwenyewe! Mfano mke wangu hapendi dagaa na maharage mimi siku nipo home napika dagaa zangu vzr na maharage mafreeze siku ninahamu natoa napika ugali wangu safi!
Ww jinga sana...
 
Forum statistics

Threads 1,324,982
Members 508,911
Posts 32,179,451
Top