Analalamika kuwa mke wake hamuandalii wala kumuita chakula kikiwa tayari na anamuachia ‘dada wa kazi’ afanye hivyo

interlacustrineregion

interlacustrineregion

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2019
Messages
293
Points
250
interlacustrineregion

interlacustrineregion

JF-Expert Member
Joined Jul 30, 2019
293 250
Kuna baadhi ya mambo hua nikisikia nashangaaga sana! Mimi sijui sababu nimekua nikijitegemea kwa muda mrefu!! Nakumbuka nimeanza kuishi mwenyewe boarding school na kila kitu nikiwa na 13yrs hivi. Nimeanza kuishi na mwanamke nina 25yrs. Ukweli sijaonaga sababu ya kuandaliwa chakula au hata kufuliwa. Nikitoka kazini nikikuta chakula nakula nisipokuta sio kesi napika mwenyewe na wide yupo anaangalia tv sipendagi sumbua watu kbs. Lkn unakuta mtu anaweza acha mkewe eti hajakaribishwa chakula!? Kweli!? Kweli hua sielewagi.. wanaume hebu wapeni wake zenu uhuru vitu vidogo maliza mwenyewe! Mfano mke wangu hapendi dagaa na maharage mimi siku nipo home napika dagaa zangu vzr na maharage mafreeze siku ninahamu natoa napika ugali wangu safi!
Hongera kwa kuingilia majukumu ya kike na usilazimishe Watu tufanane kwa kanuni zako ktk ndoa sababu tuko tofauti kwa mila, desturi na tamaduni tulizolelewa nazo.
 
interlacustrineregion

interlacustrineregion

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2019
Messages
293
Points
250
interlacustrineregion

interlacustrineregion

JF-Expert Member
Joined Jul 30, 2019
293 250
Khaaa ni vile umeshaoa. Wanaume wa sikuhizi nao wanatakiwa wapate kitchen party maisha ya sasa yamebadilika sana, mnakuta ndani wote mnafanya kazi tofauti na zamani kwahyo lzma tukubali baadhi ya mambo au umwinyi wanaume wapunguze. M'mke nae ni mtu ana nyama nae huchoka pia, kusaidiana vitu vdogo havibadilishi jinsi yako
Usingle mother unakutafuta kwa udi na uvumba so stuka uache kudanganyika kirahisi rahisi tu hivyo.
 
interlacustrineregion

interlacustrineregion

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2019
Messages
293
Points
250
interlacustrineregion

interlacustrineregion

JF-Expert Member
Joined Jul 30, 2019
293 250
Wanajitetea kijinga sana eti "maisha yamebadilika" mbona hatuoni Wanaume wakibeba ujauzito sasa au Wanawake kuwa na makoromeo kama Wanaume/aikna Baba?
Bahati mbaya Sana mmekariri kuwa maisha yamebadilika na mmeyafuata lakini men are the same.
Hatujabadilika tabia yoyote ile.!!
 
interlacustrineregion

interlacustrineregion

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2019
Messages
293
Points
250
interlacustrineregion

interlacustrineregion

JF-Expert Member
Joined Jul 30, 2019
293 250
Kama inakuletea furaha piga chini uanze safari upya.
We only live once. Kwa nini uanze kuteseka na mtu mmekutana ukubwani!?
Kama hakufundishwa na mama yake kabla hajaolewa aishi peke yake tu.
Kuna slayqueen 1 la kichaga lilikujaga geto yani hadi nilijuta kwanini niliingia nalo ktk mahusiano maana lilikuwa haliwezi hata kushika ubanio kunipikia msosi kisa mikono inamuuma
 
Nyalotsi

Nyalotsi

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2011
Messages
6,185
Points
2,000
Nyalotsi

Nyalotsi

JF-Expert Member
Joined Jul 20, 2011
6,185 2,000
Mwanamke ukiona hujafundishwa mpango wa jiko na mama yako au waliokukuza Ni afadhali uchague kuishi mwenyewe kuliko kuenda kumtesa kijana atakayekuoa.
Mwanamke unajidai uko busy kazini hata weekend kutulia na kuandaa chakula Cha familia unasubiri kuombwa au kulazimishwa!!
Ndio maana wanaume wanaamua kula michemsho bar nyumbani anarudi kulala tu. Wanaume hatujabadilika na hayo mabadiliko mnayoiga.
Ni wale wale.
Ndio maana hata ya kuwa na mke mmoja haitekelezeki. Watu wanazaa kimya kimya na kulea huko nje.
 
publito

publito

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2016
Messages
321
Points
500
publito

publito

JF-Expert Member
Joined Nov 13, 2016
321 500
Kuna baadhi ya mambo hua nikisikia nashangaaga sana! Mimi sijui sababu nimekua nikijitegemea kwa muda mrefu!! Nakumbuka nimeanza kuishi mwenyewe boarding school na kila kitu nikiwa na 13yrs hivi. Nimeanza kuishi na mwanamke nina 25yrs. Ukweli sijaonaga sababu ya kuandaliwa chakula au hata kufuliwa. Nikitoka kazini nikikuta chakula nakula nisipokuta sio kesi napika mwenyewe na wide yupo anaangalia tv sipendagi sumbua watu kbs. Lkn unakuta mtu anaweza acha mkewe eti hajakaribishwa chakula!? Kweli!? Kweli hua sielewagi.. wanaume hebu wapeni wake zenu uhuru vitu vidogo maliza mwenyewe! Mfano mke wangu hapendi dagaa na maharage mimi siku nipo home napika dagaa zangu vzr na maharage mafreeze siku ninahamu natoa napika ugali wangu safi!
Sio akili zako umelogwa wewe
Pumbavu kabisa, etibu unapika na mwanamke anaangalia tv
 
Uchira 1

Uchira 1

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2017
Messages
1,689
Points
2,000
Uchira 1

Uchira 1

JF-Expert Member
Joined Oct 9, 2017
1,689 2,000
oa kulingana na dini yako
oa kulingana na kabila lako
Ukifanya haya utapunguza baadhi ya migogoro ambayo si ya lazima sana
 
kilwakivinje

kilwakivinje

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Messages
2,463
Points
2,000
kilwakivinje

kilwakivinje

JF-Expert Member
Joined Jan 4, 2014
2,463 2,000
Kuna baadhi ya mambo hua nikisikia nashangaaga sana! Mimi sijui sababu nimekua nikijitegemea kwa muda mrefu!! Nakumbuka nimeanza kuishi mwenyewe boarding school na kila kitu nikiwa na 13yrs hivi. Nimeanza kuishi na mwanamke nina 25yrs. Ukweli sijaonaga sababu ya kuandaliwa chakula au hata kufuliwa. Nikitoka kazini nikikuta chakula nakula nisipokuta sio kesi napika mwenyewe na wide yupo anaangalia tv sipendagi sumbua watu kbs. Lkn unakuta mtu anaweza acha mkewe eti hajakaribishwa chakula!? Kweli!? Kweli hua sielewagi.. wanaume hebu wapeni wake zenu uhuru vitu vidogo maliza mwenyewe! Mfano mke wangu hapendi dagaa na maharage mimi siku nipo home napika dagaa zangu vzr na maharage mafreeze siku ninahamu natoa napika ugali wangu safi!
Malezi machafu kabisa
 
kilwakivinje

kilwakivinje

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Messages
2,463
Points
2,000
kilwakivinje

kilwakivinje

JF-Expert Member
Joined Jan 4, 2014
2,463 2,000
Kwani wanaume waliotawaliwa na wake zao wapoje, yaani wana sifa zipi?

Hapa tunazungumzia tamaduni za kiAfrika na siyo uzungu. Kila jamii ina tamaduni zake.

Mila na tamaduni zetu zimetugawa ki makundi na ki majukumu.

Light duties kama kufua, kufyagia, kuosha vyombo, kupika kuweka mazingira bora nyumbani nk nk, ni za kinamama.

Heavy duties kama kubeba mizigo, kuvunja mawe, ulinzi, vita nk nk ni za kiume.

Na hata sheria za ndoa zinautambua mchango wa kila mmoja katika familia.

Hebu niambie, janaume zima unapika, sijui kufua, wakati mkeo kakunja4 mzima wa afya, wakati yeye hajaja kibaruani kwako hata siku moja kuku backup, jitathimini mara mbilimbili, una tatizo mahali.

Hapo haupalilii penzi wala nini, unauparua mkaa wa moto kwenye jivu.

Mkeo mwenyewe kama anaakili zake na nidhamu yake, lazima atakuzuia, kwa mila zetu ni aibu.

Tatizo la hawa dada zetu kama hauwajui wana akili sana, anaweza akacheza na akili zako hadi ukawa mtumwa wake halali. Ukicheza huo mchezo wa kitoto kwa kisingizio cha kumpumzisha mkeo, unajipalia mkaa kwa siku za usoni.

Pamoja na majukumu yako, pia hayo uliyojiongezea atakuachia yawe yako, usipoyafanya atakukumbusha.

Na ukija kufosi baadaye, uelewe penzi lenu litakuwa tayari limepata ufa na utakuwa umechelewa kuuziba!
Afadhali umemsaidia huyo mtoto
 
Mshikemshike

Mshikemshike

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2012
Messages
352
Points
225
Mshikemshike

Mshikemshike

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2012
352 225
Kama inakuletea furaha piga chini uanze safari upya.
We only live once. Kwa nini uanze kuteseka na mtu mmekutana ukubwani!?
Kama hakufundishwa na mama yake kabla hajaolewa aishi peke yake tu.
Kwa staili yako utapiga chini wengi watu wapo busy na maisha ukitaka kuandaliwa kila siku nenda hotel
 
N

NANGA WA DEPO

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2014
Messages
604
Points
1,000
N

NANGA WA DEPO

JF-Expert Member
Joined Oct 8, 2014
604 1,000
Wanaume wengi tunachokosea tunaoa kwa show off, ,, wanawake ambao ni wife material wapo wengi tu.

Mke anatakiwa kuwa msaidizi wako na akuzalie watoto.

Mambo ya kusaidiana yanategemea ni wakati gani...na sio ratiba maalumu.
 
Forum statistics

Threads 1,324,981
Members 508,911
Posts 32,179,426
Top