Anakipajii anahitajii kuendelezwaa hebu cheeki

paulndasi9

Member
Joined
Aug 8, 2014
Posts
83
Reaction score
9
Kipajii cha huyuu jama ndichoo kilichoo nifnya nimtafutee hukoo kijijini kwakee
 

Attachments

  • 1448110037165.jpg
    40.2 KB · Views: 1,339
Hiyo nn mkuu! Ni guta au helicopter
Tueleze vzuri
 
Hiyooo ni pikpiki alioo iundaa mmfano wa guta na kuiwekeea injini ya pikipiki
 
Kiukwelii imee ni vutiaa saana kipaji kama hichii kinaitajii kuendelezwaa ili kisipotee haya yotee ameyafanyaa kwa kuunganisha miti na vyumaa baadhiii
 

Attachments

  • 1448113033917.jpg
    39.9 KB · Views: 492
  • 1448113064916.jpg
    50.6 KB · Views: 919
  • 1448113082106.jpg
    38.1 KB · Views: 925
  • 1448113122555.jpg
    37.3 KB · Views: 909
  • 1448113139175.jpg
    45.6 KB · Views: 431
Mie sioni cha maana hapo...angekua anapaa hapo sawa...huyo anajikinga jua tu.
 
Mie sioni cha maana hapo...angekua anapaa hapo sawa...huyo anajikinga jua tu.

kuna hatua wakati wa utoto aliluka hakupitia ndio maana anazikamilisha now.hayo sisi wengine tulisha yacheza sana naona jamaa now ndio anakamilisha
 
Hiyooo ni pikpiki alioo iundaa mmfano wa guta na kuiwekeea injini ya pikipiki

Aifungue basi tuione , isije kuwa bomu la ISIS kwani
kalifunika gubi gubi kama anataka kwenda kulilipua mahala
flani vile.

 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…