sulphadoxine
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 2,257
- 649
Ni dhambi tupu!
Dhambi kwa kuua au kuzini nje ya ndoa?Ni dhambi tupu!
Mkewe kaona bora awe mjane( suluhisho la kudumu) mana atauweka wapi uso wake wakati kidume ndo kimeizunguka familia nzima kwa kumwaga mimbaJamaa mmoja alikua anakata roho,muda huo mkewe alikua karibu nae,jamaa akamwambia mkewe"mke wangu naomba unisamehe kuna kosa kubwa nimekufanyia,nilitembea na dada yako,mdogo wako,rafiki yako na mama yako".Mkewe akamnong'oneza nayafahamu yote hayo ndio maana nimekupa sumu"
jamaa mmoja alikua anakata roho,muda huo mkewe alikua karibu nae,jamaa akamwambia mkewe"mke wangu naomba unisamehe kuna kosa kubwa nimekufanyia,nilitembea na dada yako,mdogo wako,rafiki yako na mama yako".mkewe akamnong'oneza nayafahamu yote hayo ndio maana nimekupa sumu"
Jamaaa ni noma sana.Mkewe kaona bora awe mjane( suluhisho la kudumu) mana atauweka wapi uso wake wakati kidume ndo kimeizunguka familia nzima kwa kumwaga mimba
!
Dhambi kwa kuua au kuzini nje ya ndoa?