Vasco Dagama
Member
- Jan 18, 2012
- 52
- 10
Mwache alie tena sana kabisa - maana amekosea nafsi yake. Mpe pole kwa ule wa peke yake lakini hayo ndio majukumu
Pili, mwambie ukweli kutembea na mume wa mtu kunamadhara yake hasa kutumia tu statistics za afya, ndoa zinamaambukizi makubwa. Lakini zito zaidi, sio sawa kutoka na kumtukana mke wa mtu - hata kama angekuwa mpenzi wake tu. Hivyo, anapaswa kumuomba radhi na kuomba radhi nafsi yake.
Tatu, swala la kupima ni la msingi - kwani maambukizi yanaweza uwa sio lazima awe nayo. Na hata pale atakapokuwa nayo inawezekana kabisa CD4 zake zikawa ziko juu na hivyo kuhishi vizuri kwa afya kwa mda wa kutosha kabla hajaanza RV's. Na pia atambua, maisha ya watu wanaoishi na virusi yanaongezeka kutokana na kupatikana kwa dawa mbalimbali. Asihofu, ila tabia abadilishe sasa.
Kila la kheri.
hv unatembeaje na mtu hujui hiv status yake tena kwa ngono zembe enzi hz?
mimi ukinitaka angaza kwanza
ndo maana sina mpenzi maana tukipanga kwenda angaza huwa siwaoni tena
hv unatembeaje na mtu hujui hiv status yake tena kwa ngono zembe enzi hz?
mimi ukinitaka angaza kwanza
ndo maana sina mpenzi maana tukipanga kwenda angaza huwa siwaoni tena
kuna mdadA MMOJA ANGEL ALIKUWA ANATEMBEA NA MUME WA MTU SASA NAYEYE HVOHVO AKAANZA KUMTUKANA MKEWE.KUMBE WALISHAPIMA HUYO MZEE ANA NGOMA NA MKEWE HANA SO HUYO MAMA AKAMPA RUKSA YA KUJIACHIAhuwaga nawachukia sana tena sana wazinifu hvy ushauri wangu ni anywe sumu kufidia makosa yake
yote hiyo ni kutokana na tamaa za kijinga wacha avune alichopandakuna mdadA MMOJA ANGEL ALIKUWA ANATEMBEA NA MUME WA MTU SASA NAYEYE HVOHVO AKAANZA KUMTUKANA MKEWE.KUMBE WALISHAPIMA HUYO MZEE ANA NGOMA NA MKEWE HANA SO HUYO MAMA AKAMPA RUKSA YA KUJIACHIA SASA YULE MDADA KUNOGEWA MAANA YULE MZEE KUTOKANA NA RUHUSA YA MKEWE ALIKUWA ANALALA KWA HUYO MDADA SOMETIMES AAKAANZA NYODO ONEDAY YULE MAMA AKAMTUMIA CHETI CHA HOSPTAL CHA HUYO MDINGI BALAAA USIPIME