Anaitwa khalid: My best new soul singer

Mziki wake hausikiki kabisa kwenye radio za bongo ndiyo watu waamke redio station zinachagua cha kukulisha na kukutengenezea dunia ya muziki ila kiukweli kuna muziki mzuri sana ila watu wamebaki kusikiliza uhuni tu.
Msanii kama Post Malone anaimba vizuri sana (content) ila personality yake siipendi napenda muziki wake tu.
Kiufupi muziki ni nyenzo ya kukaweka spirit vizuri ila watu wengi hawajui wanasikiliza ujinga ujinga tu ilimradi siku ziende hawajui wanajiaharibu
 
Album yake ya free spirit sijaipenda sana kama ile ya american teen ila yuko vizuri .. napenda sikiliza mziki wake

My best ni postmalone nakubali iki kichwa
Sie wa Asap Ferg, na Schoolboy Q tuna comment wapi?
 
goodbyes ya post ndio nyimbo yangu bora kwa sasa ila kwa khalid talk, location, don't pretend kali mnooooo
 
Back
Top Bottom