NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,377
- 12,932
TFF na Shomari Kapombe Kuna mgogoro wa Muda mrefu sema kocha Ambrouch ni kama sababu na kisingizio tu na anatumika Kama fimbo kumchapa Shomari Kapombe.
Kwa wachezaji Wazawa Tanzania mpaka Sasa hakuna beki Bora Kama Shomari Kapombe nasema Tena hakuna! Nasema Tena hakuna! Nasema Tena hakuna hakuna!
Shomari Kapombe ni beki tegemezi katika kikosi Cha Simba sc, na ndiyo beki mwenye uzoefu mkubwa katika mechi za kimataifa Hilo halina kipingamizi na watu wa mpira Wanaweza kuunga MKONO kwa hiki ninachokiandika.
Kama kigezo ni umri mbona John Rafael Bocco kaitwa??
Kama kigezo ni umri mbona Vijana wetu wadogo kabisa wameachwa??
Yupo wapi Mzinze, Kibabage na Abdul Suleimani Sopu??
Ni lini Hawa Vijana watapata "Experience" na kuonekana kimataifa kama hatuwapi Nafasi na kuwachukua wakina John Bocco?
NALIA NGWENA naiona nafasi Ya Kapombe katika kikosi Cha timu ya Taifa Ila kinachofanyika ni ubabaishaji tu na siasa za mpira na wazee wa ten percent.
Ndiyoooo!! Alipoachwa Shomari Kapombe niliikumbuka lile tukio la kunyimwa kiwanja /kutaka kudhurumiwa baada ya wachezaji wenzie kupewa lakini Shomari Kapombe hakupewa mpaka Captain Mbwana Samata alipoliingilia Kati na Kuhamasisha wachezaji wasichukue mpaka Shomari Kapombe na yeye APEWE ndipo nao WATACHUKUA.
Na kweli the captain Mbwana Samata all fanikiwa walapewa wote.
Toka kipindi hicho kuitwa kwa Shomari Kapombe timu ya Taifa imekua ni ngumu kutokana na influence za viongozi ndani Ya TIFUA TIFUA.
Maoni Yangu: Shomari Kapombe anastahili kuwepo katika kikosi Cha timu ya Taifa, TIFUA TIFUA waache Figisu na kumpangia kocha.