B bayonet Member Joined Jan 7, 2011 Posts 43 Reaction score 0 Mar 19, 2011 #1 hivi kati ya huyu jamaa na ferre gola nani mkali zaidi katika kutunga,kuimba,kucheza,nidhamu,uwajibikaji,kuudumisha muziki wa bakongo,kushambulia jukwaa,mavazi,uongozi mzuri wa bendi,uchangamfu,mafanikio nje,ndani ya afrika???
hivi kati ya huyu jamaa na ferre gola nani mkali zaidi katika kutunga,kuimba,kucheza,nidhamu,uwajibikaji,kuudumisha muziki wa bakongo,kushambulia jukwaa,mavazi,uongozi mzuri wa bendi,uchangamfu,mafanikio nje,ndani ya afrika???
M Mokoyo JF-Expert Member Joined Mar 2, 2010 Posts 15,145 Reaction score 5,574 Mar 19, 2011 #2 maalimu omari gurumo wa msondo ngoma ndie zaidi
Emanuel Makofia JF-Expert Member Joined Jan 5, 2010 Posts 3,832 Reaction score 637 Mar 19, 2011 #3 toozzz sana