Anaitajika Fundi wa kufunga Dish

mandwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2013
Posts
1,502
Reaction score
372
Fundi wa kufunga dish anaitajika eneo la kazi tabata segerea siku kesho jpili,kifupi dish limeshafungwa ila fundi hakufunga vizuri sipati picha zote za dstv inabidi afanye marekebisho nimejaribu kutafuta fundi maeneo haya sijapata.0719525811
 
Unapata ujumbe gani ? Huenda ni tatizo tofauti na ufundi
 
Kwa hapo tabata mtafute huyu mtaalamu wangu matata sana 0656279230, afu baada ya kazi unipe mrejesho
 
Signal inapotea nimewasiliana na dstv wakasema tatizo la dish

Ukimkosa huyo wa hapo juu piga kwa 0713 962100. Fundi wa uhakika. Gharama ni elfu 25 tu.
 
Naweza mpata ambae yuko karibu na mbuyuni? Kuna dish la dstv channel za kiswahili hazishiki na zikishika zinaskrachi...tatizo nini?
mtaalam aweke namba nimtafute tafadhali.
 
Fundi wa kufunga dish anaitajika eneo la kazi tabata segerea siku kesho jpili,kifupi dish limeshafungwa ila fundi hakufunga vizuri sipati picha zote za dstv inabidi afanye marekebisho nimejaribu kutafuta fundi maeneo haya sijapata.0719525811

Umeshapata fundi
 
Naweza mpata ambae yuko karibu na mbuyuni? Kuna dish la dstv channel za kiswahili hazishiki na zikishika zinaskrachi...tatizo nini?
mtaalam aweke namba nimtafute tafadhali.

Ni inbox nambayako dia ... Fundi yupo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…