OFFICE ADMINISTRATOR
Anahitajika office administrator katika kiwanda kidogo cha nguo.
SIFA
1. Awe na ujuzi katika kazi za kiofisi kwa muda wa miaka mitatu na Zaidi (Office experience of 3yrs and above)
2. Awe mwenyeji wa Dar es Salaam (Live in Dar es salaam)
3. Awe na uwezo wa kufika ofisini kwa wakati (Time sensitive)
4. Awe na elimu/ujuzi/ufahamu wa kuanzia kiwango cha kati kuhusu mambo ya nguo, ushonaji, vitambaa. (Knowledge about textile, garmet factory, fabric and sewing)
5. Awe mhitimu wa kidato cha sita na kuendelea (Form six graduate and above)
6. Awe na ujuzi wa kusimamia ofisi na shughuli zake za kila siku (office administration and running day to day office activities)
SIFA ZA NYONGEZA
· Kufahamu lugha ya kingereza vizuri kuandika na kuongea (fluent in English)
· Ujuzi wa mitindo na ubunifu (fashion and design)
· Uwezo wa kuuza na kutangaza (selling and marketing)
· Anayefahamu ufundi cherehani