Anahitajika mwalimu wa masomo haya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Anahitajika mwalimu wa masomo haya

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Rweye, Mar 24, 2012.

 1. R

  Rweye JF-Expert Member

  #1
  Mar 24, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 13,974
  Likes Received: 2,255
  Trophy Points: 280
  Kama una fani ama una jamaa yeyote mwenye fani ya ualimu katika masomo ya B.Maths&Physics(A-Level) basi tuwasiliane ama kwa kunipm ama katika simu no 0717522175

  Maelezo mafupi ya kazi ni kama ifuatavyo;
  Awe na uzoefu atleast wa miaka 5 ama kidogo mtu mzima,sehemu ya kufanyia kazi ni Bukoba,Kagera

  Kama uko katika nafasi ya kuhitaji basi tuwasiliane haraka iwezekanavyo
   
Loading...