Gladson thomas New Member Joined Jun 9, 2016 Posts 2 Reaction score 1 Oct 1, 2020 #1 Kuna uhitaji wa mwalimuwa chekechea mmoja. Shule ipo Iringa Ifunda. VITU VYA KUZINGATIA Awe ni mkazi wa Iringa Awe na Cheti cha mafunzo ya watoto wadogo. Uzoefu ni muhimu ila sio lazima Kwa mawasiliano zadi 0712746253 Whatsapp au 0624169990
Kuna uhitaji wa mwalimuwa chekechea mmoja. Shule ipo Iringa Ifunda. VITU VYA KUZINGATIA Awe ni mkazi wa Iringa Awe na Cheti cha mafunzo ya watoto wadogo. Uzoefu ni muhimu ila sio lazima Kwa mawasiliano zadi 0712746253 Whatsapp au 0624169990
mshipa JF-Expert Member Joined Jun 16, 2015 Posts 12,411 Reaction score 23,257 Oct 1, 2020 #2 Weka picha ya shule tuone