MASABURI
Member
- Dec 30, 2011
- 79
- 19
KAMPUNI YA UWAKALA WA BIMA:
Mahali tulipo: Morogoro mjini karibu na stendi kuu ya mabasi msamvu, njia iendayo Dodoma.
Nafasi : 2
Vigezo vya elimu/taaluma: kidato cha 4 / 6, awe na cheti cha bima (certificate of insurance) kutoka chuo kinachotambuliwa na serikali pamoja na tira.
Ujuzi wa masoko (marketing ) utamuongezea uhakika wa kazi.
Uzoefu : Awe amewahi kufanya kazi na kampuni zingine za uwakala wa bima popote nchini kwa muda usiopungua miezi 6 na kuendelea.
Aweze kufanya kazi katika mazingira yoyote.
Mahali: ofisi zetu ziko Morogoro kwahiyo awe tayari kuishi na kufanya kazi Morogoro, itapendeza zaidi kama wahusika watakuwa ni wakazi wa Morogoro.
Kazi za kufanya: Kuaandaa taarifa ya kazi ya kila siku, kuaandaa taarifa ya kila mwezi (mapato ya bima tulizokata) kwa ajili ya kuwasilisha kwa kampuni tunayoifanyia uwakala, kutafuta wateja wa bima wapya na kuwakatia bima ( wateja wasiopungua 5 iwe bima ndogo au kubwa kila siku), kazi zingine kadri zitakavyojitokeza / kupangiwa na mkuu wako wa kazi.
Mshahara : 150,000/= kwa mwezi ( posho ya nauli 50,0000/=) jumla 200,000/=.
Masharti ya kazi:
Aweze/ kuhakikisha unaweza kukata bima kwa wateja wasiopungua watano kwa siku.
Mawasiliano / anuani ya posta:
Masaburi daughter's & sons insurance agency,
Box 2319,
Morogoro
+255784549114
+255767549114.
Nb:
Barua zitumwe kupitia posta , kuwe na picha 2 za sasa pps , cv yako, viambatanisho vya vyeti na ushuhuda (testimonials ).