Anahitajika Meneja wa Bar

Anahitajika Meneja wa Bar

Nyauba

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2008
Posts
1,098
Reaction score
109
Nahitaji meneja wa bar mwenye sifa zifuatazo
1. awe anauwezo wa kusimamia wahudumu
2. mbunifu katika huduma
3. mwaminifu
4.ajue kufanya hesabu za mauzo na stock
5.mchapa kazi kwa bidii
6.ajue kusoma na kuandika.

bar ipo maeneo ya Tegeta. mshahara wa kuanzi ni laki moja na ongezeko litakuwepo kutokana na uwajibikaji na mafanikio ya biashara kimapato na faida.
aliye serious au mwenye kujua mwenye sifa husika anipm.
 
Laki moja kwa mwezi??au siku au week
 
laki moja kwa mwezi, lazima akuibie penda usipende
 
call me hope chakula pia ni hapohapo bar...
 
Meneja laki? Hivi haya majina ya umeneja mbona mnayatumia vibaya hamjui kama jina hili lina gharama kubwa?
 
Kumbe Mameneja wa bar wanalipwa hela ndogo sana! 100k per month? seriously?
 
Wewe ungepewa laki moja ukale na mkeo na watoto ingekutosha?Hebu uwe unajitathmini kabla hujaleta kitangazo uchwara chako cha kazi.
 
Yaan leo nimecheka sana, neno meneja, watu walivyochangia, kiukweli ktk hali ya kawaida kwa maisha ya sasa tsh. Laki 1 ni ndogo mno, kodi ya chumba,maji, umeme,king'amuz, chakula na vingine vya muhimu unahitaji walau laki 1 na 80 nadhan hicho ndo kiwango cha chin kwa mjin
 
Jinsia gani huyo Manager unaemtaka

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Sema unataka baamedy aliyekubuhu au counter...loh laki??acha ujima
 
apo maweita wanalipwa elfu 20,...
lazima wakuibie adi ukome adi wateja watakimbia ..utai close down
 
Hahaahaaaaaa uyo usimwite meneja,waungwana tupatieni jina zuri,bahili huyooo mwenye baa!
 
Back
Top Bottom