Anahitajika Mdada wa Kazi

Anahitajika Mdada wa Kazi

KotelaMamba

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2020
Posts
765
Reaction score
1,399
Anahitajika mdada wa Kazi.
Umri miaka ianze 24...
Sehemu ya Kazi ni Moshi Kilimanjaro.

Mwenye uhitaji au kama unamjua anayetaka kazi hii njoo PM.
 
yaani wadada wa kazi siku hizi ngumu sana kupatikana
Ni kweli mkuu. Ila nimeambiwa wanapatikana kuna mdau aliwapata watatu humu, na hadi sasa wanafanya vyema kazi zao!
Ndio maana na mimi nimepost
 
Na mimi nahitaji dada wa kazi... umri 19-24... kazi sio nyingi... naishi peke yangu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom