Kazi hiyo inayobagua mpaka dini hapa Tanzania haifai. Waislamu mtaacha lini udini? Mbona wenzenu Wakristo wanaajiri kila mtu mwenye sifa bila kubagua dini?? Acheni hizo!!Anahitajika matron kwa ajili ya kazi ya kuhudumia wanafunzi ndani ya mji huu wa DSM katika shule, majukumu ya mfanyakazi yatakuwa ni :
01. Kupika
02. Kufua
03. Kupiga pasi
04. Kusafisha mazingira ya hostel
05. Mengineyo
Sifa za mfanyakazi zinazotakiwa ni :
01. Awe mtanzania
02. Awe muislamu
03. Awe ni mwanamke
04. Umri kuanzia miaka 25 - 40
05. Awe na elimu ya kujuwa kusoma na kuandika.
06. Awe mlezi wa watoto.
Kwa mawasiliano zaidi piga
0713 039345 , 0688 016569
NB mwisho wa tangazo hili ni tar 31 May
Sasa dini hapo inahusianaje na kazi?? uyo Matron anaenda kuwafundisha watoto Qur aani??Anahitajika matron kwa ajili ya kazi ya kuhudumia wanafunzi ndani ya mji huu wa DSM katika shule, majukumu ya mfanyakazi yatakuwa ni :
01. Kupika
02. Kufua
03. Kupiga pasi
04. Kusafisha mazingira ya hostel
05. Mengineyo
Sifa za mfanyakazi zinazotakiwa ni :
01. Awe mtanzania
02. Awe muislamu
03. Awe ni mwanamke
04. Umri kuanzia miaka 25 - 40
05. Awe na elimu ya kujuwa kusoma na kuandika.
06. Awe mlezi wa watoto.
Kwa mawasiliano zaidi piga
0713 039345 , 0688 016569
NB mwisho wa tangazo hili ni tar 31 May
Mshahara pleaseAnahitajika matron kwa ajili ya kazi ya kuhudumia wanafunzi ndani ya mji huu wa DSM katika shule, majukumu ya mfanyakazi yatakuwa ni :
01. Kupika
02. Kufua
03. Kupiga pasi
04. Kusafisha mazingira ya hostel
05. Mengineyo
Sifa za mfanyakazi zinazotakiwa ni :
01. Awe mtanzania
02. Awe muislamu
03. Awe ni mwanamke
04. Umri kuanzia miaka 25 - 40
05. Awe na elimu ya kujuwa kusoma na kuandika.
06. Awe mlezi wa watoto.
Kwa mawasiliano zaidi piga
0713 039345 , 0688 016569
NB mwisho wa tangazo hili ni tar 31 May
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Mbona tangazo la ajira ya watu wanne tofauti hapo unatafuta matron,mpishi,dobi,hausgel etc punguza ubahili