sio wapigaji kama unavyodhani sisi ni watu makini sanaUkiona watu wengi wanashindwa kwenda pm ujue kuna hatari ya kupigwa MTU. Muwe makini waombaji
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nina ujuzi wa kuitumia quick book software na ningependa sana kufanya kazi hiyo katika ofisi yako. Kwa mawasiliano zaidi ninapatika kupitia email @kenedymwamagemo.gmail.com au kupitia namba ya simu 0764833874View attachment 1003711
Sent using Jamii Forums mobile app