Anahitajika: Fundi Bingwa wa Nissan X-Trail

relight

Member
Dec 30, 2015
24
2
Heri ya Mwaka Mpya 2016, WanaJF

Tafadhali naomba mnielekeze Fundi Bingwa Wa Gari za Aina ya Nissan Xtrail. Nipo Dar es Salaam
Tafadhali naomba mniwekee hapa Namba zao Tafadhali. Nitawashukuru Sana.

Asanteni.
 
ungeeleza shida ya gari au ugonjwa wa gari ungesaidiwa kirahisi sana
 
Heri ya Mwaka Mpya 2016, WanaJF

Tafadhali naomba mnielekeze Fundi Bingwa Wa Gari za Aina ya Nissan Xtrail. Nipo Dar es Salaam
Tafadhali naomba mniwekee hapa Namba zao Tafadhali. Nitawashukuru Sana.

Asanteni.

Nini shida..........?.....
 
Mtafute huyu jamaa anaitwa Emmanuel wapo Ubungo mbele ya kiwanda cha Azania kama unaenda buguruni opposite na shule ya Atlas 0652384404.
 
Back
Top Bottom