Anahitajika Dereva Pikipiki

Mateja M.G Yango

JF-Expert Member
Feb 17, 2013
613
1,093
Mahitaji:
Awe na leseni ( Tutaithibitisha kwa mamlaka husika)
Umri: kuanzia miaka 18 na kuendelea
Kituo cha kazi: Mikocheni kwa Warioba
Nature ya kazi: Kusambaza mizigo ya wateja
Muhimu: Kuijua mitaa ya Dar es Salaam
Muda wa kazi: saa 12 asubuhi hadi saa 12 jioni.
Wadhamini: Muhimu kuwa na wadhamini wawili na tutawatembelea physically.
Mshahara: Laki mbili kwa Mwezi take home.
Kazi kuanza: Baada ya week moja baada ya kusaini mkataba.
Mawasiliano: 0713752285

Nadhani nimeweka information zote za muhimu, kama una ndugu, mdogo ama rafiki mfikishie tangazo hili.
 
kwenye lesen hapo tumekosa kaz weng
 
Kwa sasa mpango ni kuilaza pikipiki ofisini, kama kutakuwa na ulazima wa dereva kwenda na pikipiki hilo litakuja baadae.

nimeuliza hivyo sbb nina vigezo vyote ila niko kibaha mail moja ukicheki muda wa kazi ili niwaahi lazima niwe na chombo muda wote ok tutawasiliana
 
saa12 hadi 12 kwa 7000 tu ?

wakati huku kitaa bodaboda napoga 15000/ kwa siku, hapo na usafiri narudi nao nyumbani na Mimi ndiye boss,

mkuu ongeza posho iwe 450,000 nije tena na pkpk yangu
 
saa12 hadi 12 kwa 7000 tu ?

wakati huku kitaa bodaboda napoga 15000/ kwa siku, hapo na usafiri narudi nao nyumbani na Mimi ndiye boss,

mkuu ongeza posho iwe 450,000 nije tena na pkpk yangu
Kama wewe uko njema wapishe wenzio wenye uhitaji,

msiwe mnapenda kuharibu nyuzi za watu kwa ujuaji wenu.
 
Asanteni wote.
Tayari nimepata watu wawili walio interested.
Mmoja tayari nishafanya mazungumzo naye.
Hivyo thread hii haina kazi tena.
 
Back
Top Bottom