Anahitajika Dalali wa nyumba. Nyumba iko dar mbezi beach Ina ghorofa 2. inafaa kwa ofisi. Ukifanikiwa kuleta mteja na Dili likakamilika utapata Chako. Kwa maelezo zaidi pm
Mkuu we ni dalali au mmiliki? Nataka nijue hili lakini weka maelezo ya kushiba, kwa maana mbez ni kubwa na tujue kiwanja kina ukubwa gani. Je kimepimwa document zipo?