Ukisoma kwa makini hapa
maswali yanakuwa mengi ...
- Alipokuja hapa tz na kutoa minoti na kumuachia ki IST, hawakuwahi
kugegedana? Walikubaliana nini?
- Hawakuweza kuongea juu ya hatma ya mahusiano yao?
- Ana ushahidi gani kuwa huyo ni daktari bingwa huko majuu na siyo
tapeli?
- Kwanini asimtumie nauli huyo binti aende kwake au yeye awe anarudi
baada ya muda fulani kupata hiyo huduma?
- Kwanini amtishe huyo dada kuwa kama hawezi kufanya mapenzi online,
amruhusu yeye kugegeda msichana mwingine kukudhi haja zake? Hivi
asingeweza kugegeda bila kuomba ruhusa? Kwanini kuna vitisho?
Kama mada hii ni ya kweli, kwa haraka haraka, nahisi anataka kumfundisha
huo mchezo wa kufanya mapenzi online, ili awe ANAMREKODI na kuzichukua
picha hizo za video na kuziuza kwenye mitandao ya ngono huko kwako. Na
hiyo ndiyo sababu ya kumhonga gari na hela nyingi. Ni ngumu kuhongwa
hivyo kwa ajili ya michezo ya online. Kuna kitu ndani yake. Michezo hiyo
ni mingi siku hizi, mwambie afunguke kiakili, atadhalilika!
Sijui akina
snowhite,
SnowBall,
Kongosho,
Kaunga,
gfsonwin,
Mr Rocky,
neggirl,
Nivea,
Kaunga nk
mnauelewaje mchezo huu!