Habari wana MMU.
kazi yangu ni ujasiliamali, nimekuwa katika biashara kwa miaka mitatu na nikabahatika kukutana na mteja mwanamke 35 ambaye anamiliki kampuni flani, hivyo alinipatia tender ya ku supply bidhaa katika kampuni yake na ukweli kaniinua kiuchumi angalau naonekana ni mtu.
miezi 6 iliyopita alinialika sehemu kwa mazungumzo ya kibiashara..nami nikaenda. kumbe alikuwa na jambo binafsi na akaanza kunieleza kwamba anamiaka 8 katika ndoa na hajawahi kukamata ujauzito japo amepima hana tatizo ila mumewe hataki kupima.
ameniomba nimgegede mara moja tu japo apate ujauzito na atanilipa pesa ndefu, ila mtoto atakuwa wa mumewe.
nikamwambia anipe muda wa kutafakari jambo hili hadi leo ananiuliza sijapata jibu.
naombeni ushauri je nimgegede nichukue changu?
je nitakuwa nimeikosea damu yangu? au inakuwaje hapa?
Du ndugu yangu na wewe naomba unijibu swali langu, mfano kweli umepokea hizo hela na kweli ukamgegeda akapa mtoto.Swali langu ni kwamba imagine mama huyo akaachana na mume wake ama kwa bahati mbaya biashara zao zikawa haziendi kabisa mpaka wakafirisika.Je siku ukikutana na huyo mtoto yupo mfano Salender Bridge anaomba pale na amechoka sana.Wewe utajisikieje?
Habari wana MMU.
kazi yangu ni ujasiliamali, nimekuwa katika biashara kwa miaka mitatu na nikabahatika kukutana na mteja mwanamke 35 ambaye anamiliki kampuni flani, hivyo alinipatia tender ya ku supply bidhaa katika kampuni yake na ukweli kaniinua kiuchumi angalau naonekana ni mtu.
miezi 6 iliyopita alinialika sehemu kwa mazungumzo ya kibiashara..nami nikaenda. kumbe alikuwa na jambo binafsi na akaanza kunieleza kwamba anamiaka 8 katika ndoa na hajawahi kukamata ujauzito japo amepima hana tatizo ila mumewe hataki kupima.
ameniomba nimgegede mara moja tu japo apate ujauzito na atanilipa pesa ndefu, ila mtoto atakuwa wa mumewe.
nikamwambia anipe muda wa kutafakari jambo hili hadi leo ananiuliza sijapata jibu.
naombeni ushauri je nimgegede nichukue changu?
je nitakuwa nimeikosea damu yangu? au inakuwaje hapa?
Kuna binti flani kwa sasa tupo katika hatua ya mchumba, ni mpole na anatabia njema,
Kitu ambacho kinanitia mashaka juu yake ni tabia yake ya kupenda kugegedwa kila tukikutana tu yeye anataka dushe, inafikia wakati nikiwa na ratiba muhimu nakwepa kukaa nae faragha maana najua atalianzisha.
Swali ninalojiuliza endapo ikitokea nimepata safari hata kwa miezi miwili tusiweze kuonana na huyu binti nitachapiwa mara ngapi? maana hawezi kudhibiti mihemko yake.
Kwa wale wazoefu huyu atafaa kweli kuwa mke muaminifu kwa hii tabia yake?
Please, please usifanye hivyo kuna athari kubwa ya mambo hayo . Usifanye tafadhali utakuja juta baadae .
Mpenzi wangu hawezi kukaa muda mrefu bila kufanya mapenzi
Started byLovery, 9th October 2014 23:31
$#it he@d!!!!
Habari wana MMU.
kazi yangu ni ujasiliamali, nimekuwa katika biashara kwa miaka mitatu na nikabahatika kukutana na mteja mwanamke 35 ambaye anamiliki kampuni flani, hivyo alinipatia tender ya ku supply bidhaa katika kampuni yake na ukweli kaniinua kiuchumi angalau naonekana ni mtu.
miezi 6 iliyopita alinialika sehemu kwa mazungumzo ya kibiashara..nami nikaenda. kumbe alikuwa na jambo binafsi na akaanza kunieleza kwamba anamiaka 8 katika ndoa na hajawahi kukamata ujauzito japo amepima hana tatizo ila mumewe hataki kupima.
ameniomba nimgegede mara moja tu japo apate ujauzito na atanilipa pesa ndefu, ila mtoto atakuwa wa mumewe.
nikamwambia anipe muda wa kutafakari jambo hili hadi leo ananiuliza sijapata jibu.
naombeni ushauri je nimgegede nichukue changu?
je nitakuwa nimeikosea damu yangu? au inakuwaje hapa?
ndio utambue kwamba shughuri zangu si za kukaa sehemu moja na kulala nyumbani kila siku.