Jambo Tz
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 670
- 203
- Thread starter
- #21
Shetani yupo kazini, akishinda tu ndoa yako inavyunjika na kila kitu na mipango yenu yote inavurugika na kuiharibu familia mliyonayo kabisa na waathirika wakubwa ni watoto wako. Ikimbie zinaa ndugu, iheshimu ndoa yako na Mungu atakubariki wewe na uzao wako wote. Msomee neno la Mungu huyo X lover wako na mshauri amuombe Mungu ampe wa kufanana naye.
neno taaaaamu mungu akubariki walio na tabia mbaya kama hiii wasome maneno yako watabarikiwa
mwili ume nywiiiiiii
in box plzzz