Jambo Tz
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 670
- 203
Tuliahidiana mengi na binti huyu kuu likiwa la kufunga ndoa.lakini kabla ya hayo tulivunja amri na tukaduu
tulifanya Kwa namna yake ile kiwasiwasi na kuhofu ujauzito Hivyo hakunipa na wala sikumpa inavyostahili
miaka ikaenda mawasiliano yakapotea miaka kijana Wa watu nikakata tamaa ya kumuoa na Hivyo nikachukua hamsini zangu moja ikiwa ni kuoa na kupata watoto.
Niandikavyo huu uzi nikwamba nimekutananae na ananisifu nimekuwa na nimependeza haki ni kweli nimepanda hewani ninakazi nzuri kipato si haba.
Tuliongea mengi ya kipindi kile na kuahidi kupeana ofa ya kuduu nikaona isiwe issue nifanye booking uwanja wa taifa.
Kijana si utani nilijituma sawasawia ili zile sifa ziendane nilijituma kila aina ya namna nilimpigilia msumari baaada ya hapo kilichofuata ni kilio siwezi kukuachia Dany.
Alilia akinisihi angalau anipe mtoto kwani ananihitahi sana.
Nina Mke na watoto ila anasisitiza hatakama hayo hayetimia awe mchepuko wangu wa kudumu.
Ila ukweli naye alikuwa mtamu kila ukimgusa anaheema ukimtizama chini mpaka naishiwa nguvu.