Edna kahema
Member
- Nov 16, 2016
- 33
- 28
Habari za wakati huu ndugu zangu.
Nipo kumsaidia mtu mzuri na mwenye bidii kutafuta nafasi ya kazi ya Ugavi (Procurement/Supply Chain).
Iptysam Salum ni mtaalamu aliye tayari kujifunza, kufanya kazi kwa uaminifu na kuongeza thamani popote atakapopata nafasi.
Kama una taarifa, nafasi au unajua mahali panahitaji mtu wa ugavi, tafadhali usisite kumtafuta
Jina: Iptysam Salum
Mawasiliano: 0777 074 028
Asanteni sana kwa moyo wenu wa kusaidia. Ujumbe huu unaweza kuwa mwanzo wa fursa mpya kwake.