Anahitaji kazi ya kuhudumia kuku au kazi yoyote

Natokea Mtwara ndo nishakosa
 
Kazi zipo ziiiiingiiiiiiiiiiiii

shida watu wanaogopa kuajiri ajiri tu

mi siogopagi hataa kuibiwa,ninacho ogopa ni

mtoto wa watu kafika home,usiku kalala Asubuhi inafika

Amsha kitu haiamki,Amsha Amsha na wewe,kitu imelala hivyooo

Hivi mtanielewa kweli kua huyu kiumbe kajifia mwenyewe

Hamchelewi niita mtoa wa wafanyakazi kafara

Wakati vi mali vyangu nimevitafuta kwa shida na jasho..

Naogopa kufiwa tu,maiti ingekua inaongea aaaaah sawa ila mtu kalala haamki

aaaaaaaaasubutuuuuuuu sipo tayari saidia POLISI kwa maelezo ya kina
 
Hata wewe Mdhamini bado unahitaji kuwa na Mdhanini
 
Ilishanikuta hii kitu, ni Mungu tu aliyetusaidia yakaisha salama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…