Anahitaji kazi ya kuhudumia kuku au kazi yoyote

Natokea Mtwara ndo nishakosa
Hii nimeikuta mahali, Nadhani wanaweza kufaana.

Habari waungwana.
Nahitaji kijana mmoja wa kazi, umri usiozidi miaka 30, awe anajua kusoma na kuandika, hajaoa, mwaminifu, sio mvivu. Akianza kazi Meals and accommodation ni juu yangu.

Shughuri:
Usimamizi na kuhudumia mifugo, Kuku 1300 na ng'ombe wanne wa maziwa. Hatokua peke yake kwenye shughuri hizo watakua wawili.

Salary ni Tsh 100,000/= na offer tofauti kutegemeana na efficiency yake kazini.

Eneo la Kazi
Masasi mjini, Mkoa wa Mtwara.

Angalizo:-
Asiwe anatokea mikoa ifuatayo Mtwara, Lindi, Tanga.

Lazima awe na udhamini wa watu wawili wa kuaminika.

Kwa mawasiliano +255716002421
Ahsante!
 
Kazi zipo ziiiiingiiiiiiiiiiiii

shida watu wanaogopa kuajiri ajiri tu

mi siogopagi hataa kuibiwa,ninacho ogopa ni

mtoto wa watu kafika home,usiku kalala Asubuhi inafika

Amsha kitu haiamki,Amsha Amsha na wewe,kitu imelala hivyooo

Hivi mtanielewa kweli kua huyu kiumbe kajifia mwenyewe

Hamchelewi niita mtoa wa wafanyakazi kafara

Wakati vi mali vyangu nimevitafuta kwa shida na jasho..

Naogopa kufiwa tu,maiti ingekua inaongea aaaaah sawa ila mtu kalala haamki

aaaaaaaaasubutuuuuuuu sipo tayari saidia POLISI kwa maelezo ya kina
 
Habarini wakuu nna ndugu yangu alikua morogoro kwa sasa karudi singida yupo wilaya ya iramba kihomboi yupo nyumbani anatafuta kazi Iwe Ni ya kuhudumia kuku kwa wale wafugaji au kazi hata za kusafisha nyumba mfano garden na kazi zozote pia ana experience katika kukuaanga chipsi (amewahi kuuza chips mara nyingi tu kama unahitaji muuza chipsi ..... mshahara uanzie laki 1 kwenda mbele kijana ana miaka 27 ni wa kiume nipigie no 0692669235 nikuunganishe naye...Ni kijana mchapa kazi sana

NB: ukimuhitaji unamtumia nauli kukufikia mkoa wowote ule mimi nitakua mdhamini wake in case anything happens
Hata wewe Mdhamini bado unahitaji kuwa na Mdhanini
 
Kazi zipo ziiiiingiiiiiiiiiiiii

shida watu wanaogopa kuajiri ajiri tu

mi siogopagi hataa kuibiwa,ninacho ogopa ni

mtoto wa watu kafika home,usiku kalala Asubuhi inafika

Amsha kitu haiamki,Amsha Amsha na wewe,kitu imelala hivyooo

Hivi mtanielewa kweli kua huyu kiumbe kajifia mwenyewe

Hamchelewi niita mtoa wa wafanyakazi kafara

Wakati vi mali vyangu nimevitafuta kwa shida na jasho..

Naogopa kufiwa tu,maiti ingekua inaongea aaaaah sawa ila mtu kalala haamki

aaaaaaaaasubutuuuuuuu sipo tayari saidia POLISI kwa maelezo ya kina
Ilishanikuta hii kitu, ni Mungu tu aliyetusaidia yakaisha salama
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom