Mwanamaji
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 2,896
- 4,495
wasiliana na mhusika kwa namba hiyo tafadhaliHii nafasi bado ipo Mkuu??
wasiliana na mhusika kwa namba hiyo tafadhaliHii nafasi bado ipo Mkuu??
Hii nimeikuta mahali, Nadhani wanaweza kufaana.
Habari waungwana.
Nahitaji kijana mmoja wa kazi, umri usiozidi miaka 30, awe anajua kusoma na kuandika, hajaoa, mwaminifu, sio mvivu. Akianza kazi Meals and accommodation ni juu yangu.
Shughuri:
Usimamizi na kuhudumia mifugo, Kuku 1300 na ng'ombe wanne wa maziwa. Hatokua peke yake kwenye shughuri hizo watakua wawili.
Salary ni Tsh 100,000/= na offer tofauti kutegemeana na efficiency yake kazini.
Eneo la Kazi
Masasi mjini, Mkoa wa Mtwara.
Angalizo:-
Asiwe anatokea mikoa ifuatayo Mtwara, Lindi, Tanga.
Lazima awe na udhamini wa watu wawili wa kuaminika.
Kwa mawasiliano +255716002421
Ahsante!
Hata wewe Mdhamini bado unahitaji kuwa na MdhaniniHabarini wakuu nna ndugu yangu alikua morogoro kwa sasa karudi singida yupo wilaya ya iramba kihomboi yupo nyumbani anatafuta kazi Iwe Ni ya kuhudumia kuku kwa wale wafugaji au kazi hata za kusafisha nyumba mfano garden na kazi zozote pia ana experience katika kukuaanga chipsi (amewahi kuuza chips mara nyingi tu kama unahitaji muuza chipsi ..... mshahara uanzie laki 1 kwenda mbele kijana ana miaka 27 ni wa kiume nipigie no 0692669235 nikuunganishe naye...Ni kijana mchapa kazi sana
NB: ukimuhitaji unamtumia nauli kukufikia mkoa wowote ule mimi nitakua mdhamini wake in case anything happens
Ilishanikuta hii kitu, ni Mungu tu aliyetusaidia yakaisha salamaKazi zipo ziiiiingiiiiiiiiiiiii
shida watu wanaogopa kuajiri ajiri tu
mi siogopagi hataa kuibiwa,ninacho ogopa ni
mtoto wa watu kafika home,usiku kalala Asubuhi inafika
Amsha kitu haiamki,Amsha Amsha na wewe,kitu imelala hivyooo
Hivi mtanielewa kweli kua huyu kiumbe kajifia mwenyewe
Hamchelewi niita mtoa wa wafanyakazi kafara
Wakati vi mali vyangu nimevitafuta kwa shida na jasho..
Naogopa kufiwa tu,maiti ingekua inaongea aaaaah sawa ila mtu kalala haamki
aaaaaaaaasubutuuuuuuu sipo tayari saidia POLISI kwa maelezo ya kina
mimi sitokaa nisahauIlishanikuta hii kitu, ni Mungu tu aliyetusaidia yakaisha salama
Mkuu,