anahesabu mara tulizofanya mapenzi

anahesabu mara tulizofanya mapenzi

wazawa

Senior Member
Joined
Jan 29, 2013
Posts
184
Reaction score
58
nina miaka 29 nina mpenz kwa miaka 7 sasa tunakaribia kufunga ndoa hivi karibuni.tatizo mpenz wangu n mvivu ktika suala la mapenz sana na amekuwa akihesabu mara tulizofanya mapenz kwa mwezi na kyoba ndio kajitoa sana.huenda ikwa mara tatu au nne tu basi anaona kafanya kitu kikubwa sana na sio kuangalia kiasi gani tumeridhika
hata tukifanya tukienda mzunguko mi tatu siku hiyo ataongea sana kuwa n nyingi sana na hawez kuendelea nayo.m mwenzio nashindwa kutimiza haja xangu n kabiya naona naumia kisaikolojia kwa kukosa kutimiziwa tendo hilo kwa ukamilifu wangu
nampenda sana nasitak kwenda nje ila nakuwa na kiu sana ma yy sio mtimilizi wa haja zangu.tumeongea sana na kumwambia athar zake ila mwishowe kinabaki kuwa vile alivyo.najiona naeleka kybaya je nifanyaje
 
Huu mtindo wa kuanzisha mada humu na kuanza na 'nina miaka fulani' naona unashika kasi sana humu.

Najiuliza kwa nini ni hivyo?
 
She is the best of the best. Lazima akupe kwa mgao hata kama anatoa kwa fujo kwingineko. Go ahead muoe utamjua vizuri.
 
Huu mtindo wa kuanzisha mada humu na kuanza na 'nina miaka fulani' naona unashika kasi sana humu.

Najiuliza kwa nini ni hivyo?

uone ukubwa wa tatizo kulingana na uhitaji wa umri..ningekuwa 16 ingekuwa na uzito gani
 
Hapo anawagawa kimafungu hawezi kuwahudumia nyote kwa pamoja.
 
..., wazawa tatizo MUNAZINI: kwa vile unafanya USHERATI kamwe huwezi kuridhika na mwenzio, kwa sababu mnatawaliwa roho ya SHETANI.
 
Kila mara malizia kwa kupiga master B.
Mwenzio anawahudumia na wengine. Anachoka mwana wa mwenzio ebooo!!!
 
mkuu kazi ni ndogo sana kasome uzi kule jf doctor wa kupungua hamu ya kufanya mapenzi unaweza pata kitu..
 
Haya mambo,nafikiria kukaa benchi tena.Kuna vituko sana
'
Lakini wengine wanayafurahia tu!
 
Wanaume wengine mnatakiwa mpelekwe chuo kikuu mkasome, msisahau si kila wanawake wana chukulia sex kama ndo kazi ya kendeleza mapenzi, wengine wanachukulia sex ni starehe ya kuwafurahisha wapenzi wao au wanaume zao.

Huwezi kumlazimisha mwanamke afanye sex wakati hapendi ni ujinga tu, yani wewe ukipewa hata kiuno kimoja tu alicho kifurahia yeye ni bora kuliko kupata viuno vitano asivyo vifurahia.

Mtawashakia sana wanawake zenu wanaenda nje sababu ya ujinga wenu, msidhani wanawake wote wanawaza sex tu kila wakati, kweli mko nyuma sana.

Mimi nikipata mwanamke wanamna hio ntamfahamu tu hapendi mchezo wa sex kwa sababu zake flani wala sio sababu anasex na wanaume wengine.

Mwanamke kusex na wanaume wengi haiwezi kumzuia kusex sana, kumbukeni wengine wana sex masaa 24 na wanaume tofouti na wako fit kabisa.
 
wa kwangu tunasex kila baada ya ck moja na anafurahi kwani napiga mbili safi
 
wazawa huyo humkuni vizuri aiseeeee .. Angekuwa anapata mautamu kisawa sawa mbona angeaza na kukudai.

But.. Kufanya maround mengi kwa wakati moja sio ishu lol, kuchoshana tu.. Bora moja yenye vionjo vyote na yenye kukata kiu.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
duh no comment napita tu mambo ya vijana hayo wapenda ngono kuliko kazi! Itakulaje kwenu?
 
Miaka 7 unamkopa mtoto wa mwanaume mwenzio? Hebu muambie akunyime kabisa kiu ikukimbize kuoa, eboo!
 
Nadhan hayuko interested sana na sex, hata hvyo kuwa wapenz c lazima msex mbaya zaid hamjaoana. Achen uzinzi. Kingine ni kwamba kwel kuna uwezekano ikawa haumridhishi mwenzio.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom