Anafikiri alipotea njia

ahsante mkuu mapenzi ni janga jingine la dunia.......
 
Ktk ndoa kuna mambo yakifikiwa na mwanamke kama huyu alivyofikia basi hakuna budi kukubali kuwa alikuwa ila sasa sio mwenzi wako tena.
Binafsi ningeangalia njia nzuri ya kuwatunza watoto wangu bila huyo mwanamke na nisingekosa.
 
Mkuu nimegundua ktk ndoa kuna mizigo ming ambayo imewalemea wahusika lkn kuna mambo hayahitaj discussion hapana iwe hapana na ndiyo iwe ndiyo......
 
Hivi mwanaume unaanzia wapi kumuoa mwanamke ambaye hakutaki? Jamaa alijichimbia kaburi lake mwenyewe wacha aisome namba
 
Uyo mwanaume niwa sayari gani? Unapata uhakika bibi yako anacheat bado unaomba akae shubamit!!! Ilo ndo kulilikuwa kosa kubwa atadharauliwa sana
 
hv hapo pia kunaishu ya uzoefu.....inshort kuna maneno mawili KA........na TA...(BY VOICE OF UNCLE)
 
Bora pengo kuliko jino bovu...huyo jamaa yako ni jingest
 
Mkuu nimegundua ktk ndoa kuna mizigo ming ambayo imewalemea wahusika lkn kuna mambo hayahitaj discussion hapana iwe hapana na ndiyo iwe ndiyo......
Ni wanaume wachache ktk ndoa wenye uwezo wa kusema hii nyeupe hii nyeusi na wakasimamia hapo mpaka mwisho.
 
Hivi mwanaume unaanzia wapi kumuoa mwanamke ambaye hakutaki? Jamaa alijichimbia kaburi lake mwenyewe wacha aisome namba
Mkuu sina hakika kama mwanaume alijua k uwa mwanamke hamtak kabla ya taarifa ya mkewe kilichofanyka nahis ni one coin with two different sides........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…