Anafaa kuwa Mbunge wa Moro

Aventus

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2013
Posts
2,011
Reaction score
2,182
wapi hekima ya suleiman msindi?
 

Attachments

  • 1438334037917.jpg
    40.1 KB · Views: 1,220
Hiv jamaa anaisemeaje picha kama hii! Kwann asijitoe mwenyewe tu
 
Hahahaha cc hatutaki vichaa moro Abood azizi again
watu wa moro Sio watu wakupenda mabadiliko na huona fahari kutawaliwa na ngozi nyeupe. Hata chama kinajua ukitaka kupata kura morogoro weka mtu mweupe.

Wanafanana na wazaramo japo kwa wazaramo interaction ya jamii zingine imesaidia kuwafunika wazaramo
Nakumbuka enzi ya gulamali. Shamin khan. Chodri nk

Ukiona mtu wa moro/mluguru anapenda mabadiliko basi jua Amesoma
 

Kuna jamaa yangu mmoja anatoka Morogoro, Kipindi cha uchaguzi wa 2010 alitembelea kwao, akawakuta vijana wamebeba matawi ya miti wanacheza ngoma kushangilia CCM kama hawana akili nzuri. Tena walikuwa wanaimba nyimbo za kuwabeza wapinzani na kujisifu wao ni chama dume, matokeo CCM ilishinda kwa kishindo Morogoro.

Baada ya miezi michache alipotembelea tena Morogoro mjini ndio alipopatwa na hasira sana, maana vijana wale wale wa chama dume wamekuwa omba omba ving'ang'anizi. Kila aliyekutana naye amuachie buku, mwingine japo mia tano na kila mtu anamuelezea matatizo tu. Akashangazwa kwanini hawataki mabadiliko, Moro maisha magumu lakini hawataki mabadiliko.
 
huyu mie naona kakimbia dozi ya dawa milembe, ACT wazalendo mpoooo!!!!!!!!
 

mkuu hapo sio kulaumu serikali waluguru wavivu kufanya kaz mpaka wanatia aibu. Kaz yao kushinda kwenye vigodoro tu. Kama unadhan mm n muongo tafuta kama kunamfanyabiashara mkubwa hapa tz ambaye n mluguru kama utampata.

Mbaya zaidi utakutana na bint wakike wa kiluguru mwenye miaka labda 22 utakuta kazaa nyumban watoto wawili na mzaz wake anamfurahia na kumwekea hadi sherehe. Kiukweli walugulu ombaomba sana hawana maendeleo yoyote. Sasa hvi morogoro inaendelea sababu ya kuwepo kwa wachaga,wanyakyusa na wasukuma.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…