Anafaa hafai?

Hafaiiiiiiiiiiiiiiiii!! Capt komba anafaa,atuimbie kwaya ikulu
 
Hapana labda ahamie cdm ufalme ukifitinika utasimamaje?. Hawezi kufanya jipya huyo embu ona anayemnadi anachofanya kweli?. Sikio halizidi kichwaaaa.
 
Naomba niulize swali. Huyu jamaa amefanya ufisadi gan? Na mbona hao wakubwa wenye madaraka hawamkamati.

pesa za Richmond zipo wapi ??

kuhusu kukamatwa hawawezi kukamatwa na mkulu alishafafanua kwa nini hawakamatwi
 
Hivi wakuu nchi hii tunaweza kumpata rais asiyekuwa na urafiki na mafisadi?
_maana kufanya kampeni nchi yote bila hata kutoa rushwa inahitajika pesa ndefu sana,huyo mtu pesa ataitoa wapi?
_pili wanachi wa Tanzania tu wenyewe bila kuwapa tishirt,khanga na vijikofia hawajakupa kura....
__kampeni zinahitaji pesa ndefu angalia hata obama alivyofanya kampeni ya gharama
 
Eeeeee jamani Lowasa naona anawapa sana headache, kuwen na subra mtaona wenyewe km anafaaa au laaa maana maamuzi yatatoka kwa wapiga kura.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…