anaeuza kiwanja dodoma mjini

RFP

Senior Member
Jun 15, 2016
171
194
Wakuu anaeuza kiwanja Dodoma ambacho hakina migogoro tufanye biashara, maana naona kuna hatihati ya kulihama jiji
 
Serikali inahamia dodoma ndani ya miaka minne ijayo so huko ndo kwenye issue kwa sasa.
 
Dar itabaki kama Jo'burg mji mashuhuri na wa kibiashara,noti na mipango paleoale.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom