Nahitaji kubebwa wakuu sina hata sehemu ya kukaa naomba msichana aliye na room mabibo ikiwezekana aniuzie.. Wasifu wangu ni cool girl na mstaarabu kiasi chake mwenye huruma na mie ani pm please..
Sina hata pa kufkia nikitoka likizo tulikua tunakaa dar lkn tumeshahama ndugu zangu wanakaa maili moja yani sina hata amani please mwenye rum wasichana wenzangu mnisaidie am sirious wakuu