Anaepajua Mbezi juu anielekeze

Anaepajua Mbezi juu anielekeze

moreen baby

Senior Member
Joined
Feb 20, 2014
Posts
127
Reaction score
23
habarini kwa anaepajua mbezi juu naomba anielekeze naenda kwenye usahili wa necta
 
habarini kwa anaepajua mbezi juu naomba anielekeze naenda kwenye usahili wa necta
kituo cha daladala sijui jina lake, ila kama unatokea mwenge unakata kushoto kuelekea st marys international schools mbezi,then kuna majengo utayaona ya ghorofa hapo ndio kuna ofisi za NECTA mbezi juu
 
habarini kwa anaepajua mbezi juu naomba anielekeze naenda kwenye usahili wa necta

Panda Gari Zozote Zinazoelekea Tegeta Escrow au Kunduchi au Ununio Kisha Mwambie Kondakta Wako Akushushe Kituo Cha MAKONDE Na Ukishuka Tu Hapo Utakutana Na Madereva Wa Pikipiki au Bodaboda Na Waambie Wakupeleke Baraza La Mitihani Ni Tsh Elfu 2000 Tu Kwakuwa Kuna Mvua Na Watakufikisha Kwani Siyo Mbali Wala Kwa Kupotea! Otherwise Nakutakia Mafanikio Mema Na Huo Usaili Wako.
 
Back
Top Bottom