Anaejua kifurushi cha vodacom(uni-ofa) cha chuo aje tuongee hela zipo nje nje

equator

JF-Expert Member
Aug 28, 2016
209
123
Jaman habari naitaji mtu ambae anaweza kunsaidia kujiunga niwe nasajili watu kifurush cha university offer .Mambo ya Hela tutaongea zaidi unaweza ukafanya kucoment au ukanitext tu (0753395920) Nina shida nayo kwa kweeeli
 
Hayo mambo ya vifurushi vya dili ondoa kabisa kichwani kwako. Fika Vodacom upewe A-Z na uwakala wa kusajili line. Ni sawa na kutaka kufanya huduma ya Mpesa wakati ww siyo wakala. Kuna mambo hayahitaji shorcut. Hiyo kitu haiwezekani mpaka uwe wakala
 
Jaman habari naitaji mtu ambae anaweza kunsaidia kujiunga niwe nasajili watu kifurush cha university offer .Mambo ya Hela tutaongea zaidi unaweza ukafanya kucoment au ukanitext tu (0753395920) Nina shida nayo kwa kweeeli
Wanaojua ni Vodacom, nenda kwa dealers wao watakusaidia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom