Anaejua hii muvi ya ITV anambie jamani please

yuga

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2016
Posts
376
Reaction score
265
Jaman wana jf anaejua ile movie ya nigeria inayorushwa itv kila jpili usiku kuanzia saa tatu na nusu usiku inaitwaje naombeni anambie. Aniambie na website ya kuipata. Movie yenyewe ipo ivi jamaa alisoma hadi chuo kikuu akaja akakosa kazi hadi kakake wa dam kamnyima kazi akakaa kusota kitaa ila akaja kukutana na dem alowahi kumsaidia wakiwa chuo. huyo dem akamsaidia pia kwenye ajali ya mshikaji na akampenda jamaa ila wazazi wa dem hawampendi jamaa..... Jaman siwez kuendelea naomba anaeijua aniambie tu niitafte mtandaoni jaman
 
Haya itafute
 
Naona wtu wenyew kimya yan duh wamenikaushia ila poa tu
 
Korean muvi huko nako nipo vizur na mm sio haba
 
Jaman wana jf anaejua ile movie ya nigeria inayorushwa itv kila jpili usiku kuanzia saa tatu na nusu usiku inaitwaje naombeni anambie. Aniambie na website ya kuipata. Movie yenyewe ipo ivi jamaa alisoma hadi chuo kikuu akaja akakosa kazi hadi kakake wa dam kamnyima kazi akakaa kusota kitaa ila akaja kukutana na dem alowahi kumsaidia wakiwa chuo. huyo dem akamsaidia pia kwenye ajali ya mshikaji na akampenda jamaa ila wazazi wa dem hawampendi jamaa..... Jaman siwez kuendelea naomba anaeijua aniambie tu niitafte mtandaoni jaman
Sa si usubirie jumapili hii, watairusha utaiona
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom