S sangaedo Member Joined Dec 3, 2014 Posts 30 Reaction score 6 Jan 11, 2015 #1 Samahani wadau kwa wale wazoefu wa cm naombeni ushauri vp kuhusu aina hii ya simu yaani LG smartphone kuanzia ubora,upatikanaji wa spear na mengineyo
Samahani wadau kwa wale wazoefu wa cm naombeni ushauri vp kuhusu aina hii ya simu yaani LG smartphone kuanzia ubora,upatikanaji wa spear na mengineyo
gfesto JF-Expert Member Joined Nov 6, 2013 Posts 653 Reaction score 146 Jan 11, 2015 #2 Iko poa sina hakika na matengebezo
Hunyu JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 4,774 Reaction score 4,339 Jan 11, 2015 #3 Naionaga kwa watu iko poa sana sijawahi tumia
wiseboy JF-Expert Member Joined Mar 22, 2011 Posts 2,930 Reaction score 3,310 Jan 11, 2015 #4 duuuuh spare ya simu mkulu...ikizingua tupa kule....spare kwan hiyo murano
Chachu Ombara JF-Expert Member Joined Dec 11, 2012 Posts 6,160 Reaction score 11,228 Jan 11, 2015 #5 CM ina maana nyingine tofauti na simu, aina ya uandishi kama wako wa kuharibu maneno ya kiswahili ni wa kishenzi.
CM ina maana nyingine tofauti na simu, aina ya uandishi kama wako wa kuharibu maneno ya kiswahili ni wa kishenzi.
S sangaedo Member Joined Dec 3, 2014 Posts 30 Reaction score 6 Jan 12, 2015 Thread starter #6 Nashukuru kwani ni simu sio cm@ Chachu Ombara