Anaehitaji karanga mbichi.

Anaehitaji karanga mbichi.

phidejoha

Member
Joined
Jun 23, 2017
Posts
52
Reaction score
26
Nina sambaza karanga mbichi kwa bei poa, karanga zinatokea mkoa mpya wa songwe wilaya ya mbozi, kubwa kubwa nyeumbe na nyekundu, bei yetu ni shilingi 2,500 nyeupe na 27,00 nyekundu, karibuni sana, tunapokea order kutoka sehemu mbalimbali, ofisi tunapatikana mbezi lui barabara ya kwenda msigani/kwembe, unaweza kutupata kwa namba za simu ;- 0653809008/0718949497 whatsap,
 
Smart Industry wamiliki wa Diamond karanga walitangaza kununua karanga mbichi sijui uliwacheki dili lao mkuu?
 
No cjawacheki coz cjaona tangazo lao, kama una contact au link ya tangazo naomba nisaidie mkuu ilo nicheki nao, asante kwa wzo zuri mkuu.
 
Nina sambaza karanga mbichi kwa bei poa, karanga zinatokea mkoa mpya wa songwe wilaya ya mbozi, kubwa kubwa nyeumbe na nyekundu, bei yetu ni shilingi 2,500 nyeupe na 27,00 nyekundu, karibuni sana, tunapokea order kutoka sehemu mbalimbali, ofisi tunapatikana mbezi lui barabara ya kwenda msigani/kwembe, unaweza kutupata kwa namba za simu ;- 0653809008/0718949497 whatsap,
Mi nataka kilo 1 ya kutafuna, niko Dar vipi inakuaje hapo??
 
Dar sehemu gani mkuu?duka letu lipo mbezi luis kama upo maeneo ya mbezi ya kimara hadi ubungo, manzese ntakuletea mkuu
 
Nina sambaza karanga mbichi kwa bei poa, karanga zinatokea mkoa mpya wa songwe wilaya ya mbozi, kubwa kubwa nyeumbe na nyekundu, bei yetu ni shilingi 2,500 nyeupe na 27,00 nyekundu, karibuni sana, tunapokea order kutoka sehemu mbalimbali, ofisi tunapatikana mbezi lui barabara ya kwenda msigani/kwembe, unaweza kutupata kwa namba za simu ;- 0653809008/0718949497 whatsap,
nahitaji kilo moja nipo mwanza
 
Bei kwa kilo au nusu, sijui mnakua na haraka gani mnapotangaza.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom