Godoro la kioo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2025
- 364
- 735
Salam wanajukwaa. Husika ni kichwa cha habari, Mimi ni kijana mpambanaji na ni muda Sasa nafikiria kuhusu hii biashara ya uchomeleaji.
Ila mpaka Sasa sijajua iko ikoje, naamini hapa jf wapo wazoefu wa hii kazi so nilikuwa naomba mnipe mawili matatu kuhusiana na hii kazi
Nilikuwa naomba mnielekeze vitu vya kuanzia kipi na kipi kinahitajika
Gharama zake je. zikoje
.Natanguliza shukran karibu .