Anaefahamu ada Makerere University

Anaefahamu ada Makerere University

Check kwenye website yao www.muk.go.ug utapata taarifa zote mkuu

Pia lazima upige paper ya entry haijalishi ulipata 1.3 au nin unakula paper wote
 
Kwa anaefahamu ada ya kusoma medical doctor kwa mwaka Makerere university aniambie

Au chuo chochote Kenya au Uganda
Mkuu ukija Makerere usiache kunitafuta nikutembeze! Karibu sana Mak.
 
Unaishi sehem gani,me npo hostel jiran na mulago hosp
Umeshafika mkuu, mimi nilikua naishi hapo Baskon hostel, west gate! Semester hii nipo data collection sikuja kabisa. Nitakua hapo November mkuu! Nakutumia namba yangu ya watsp DM
 
Umeshafika mkuu, mimi nilikua naishi hapo Baskon hostel, west gate! Semester hii nipo data collection sikuja kabisa. Nitakua hapo November mkuu! Nakutumia namba yangu ya watsp DM

Asante and tutawasliana zaidi
 
Back
Top Bottom