hii ramani nimeipenda ila inamaboresho kidogo nilihitaji mtaalam aiweke kwenye vipimo pamoja na 3d ikiwa bila BOQ.
View attachment 3616642 vitu vya kurekebisha ni hapo kwenye kuiondoa dinning ibaki vyumba vitatu kimoja master na choo cha jumuia na jiko iwe ya hidden roof njoo na bei tuongee