Anadai yu mrembo sana! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Anadai yu mrembo sana!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Sware, Mar 27, 2011.

 1. Sware

  Sware Member

  #1
  Mar 27, 2011
  Joined: Dec 12, 2010
  Messages: 92
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  kuna mdada ambae ana boy friend nje ya nchi kikazi na anatoka na mdada mwingine huku ambae nae ni girl friend wake wamekua katika relationship na huyu mdada wa huku kwa miaka mi4 sasa yaani tokea wakiwa huko Tz,tatizo linakuja huyo mdada wa Dar anajishebedua sana kuhusu bwanake sasa mm namwonea huruma mana kaweka status hii facebook leo
  "kuna mawili hapa; either ulimtongoza, au na yeye he want 2 try wanawake wabaya wakoje coz ama beautiful to a greater extent....." Nimsaidiaje?mana huyu bwana kafa kaoza kwa huyu mdada wa huku,je nimwambie ukweli??mana wote ni marafiki zangu na namwonea huruma mana anajichoresha!!Nawakilisha!
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  Mar 27, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Acha umbea.....status za watu FB zinakuhusu nini??Kama hajakuomba ushauri achana na mambo ya watu!
   
 3. Sware

  Sware Member

  #3
  Mar 27, 2011
  Joined: Dec 12, 2010
  Messages: 92
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Lizzy dadangu sio umbea namwonea huruma coz najua kinachoendelea hapa naomba ushauri je nimwambie ajue ukweli au??
   
 4. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #4
  Mar 27, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  kama ni mtu wa kujishebedua usimwambie.....asije akakuletea za kuleta.....angekuwa mpole ungeweza umwambie na atumie busara kuujua ukweli na kuendelea na maisha......!!!! ila pia kama ni rafiki zako wote,waweza anza na huyo uliye nae karibu na unayejua ana uhusiano na mtu mwingine kwa kumwambia asimuweke dada wa watu akimsubiri while hana mpango nae.....yeye aamue kusuka ama kunyoa......!!!:washing:
   
 5. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #5
  Mar 27, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  Hiyo status nimeipenda.
  Dada ana confidence sana.
  Nimempenda na yeye mwenyewe.
   
 6. Sware

  Sware Member

  #6
  Mar 27, 2011
  Joined: Dec 12, 2010
  Messages: 92
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Thanx Michelle nachukua ushauri wako ntafanya hivyo halafu ntarudi na jibu ila mmh kazi ipo hapa,huku nasikia mpaka kulia, mdada coz anajiona ni mrembo basi anahisi bwanake hawezi kutongoza mwanamke mwingine duniani!!
   
 7. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #7
  Mar 27, 2011
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  dah! cjui kusoma ndio cjui au vp!! mana cjaelewa kabisa .....any wayz we ungeomba ushauri huko huko fb.
   
 8. Sware

  Sware Member

  #8
  Mar 28, 2011
  Joined: Dec 12, 2010
  Messages: 92
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Confidence wakati unajichoresha mamii?4 good years huyu mkaka yupo na huyu mdada mwingine??na almost marafiki zake wa huyu mkaka na ndugu wanamjua huyu mdada wa huku sema coz ya mashauzi yake huyo mdada wa Dar wanashindwa kumwambia ukweli!!
   
 9. s

  shosti JF-Expert Member

  #9
  Mar 28, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  kuna blog moja ukiiweka huko kuna kila aina ya ushauri mzuri na mbaya maana naamini wachangiaji wake wengi ni washinda fb:lol:
   
 10. Sware

  Sware Member

  #10
  Mar 28, 2011
  Joined: Dec 12, 2010
  Messages: 92
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  soma tena my dear mbona wengine wameelewa?
   
 11. Sware

  Sware Member

  #11
  Mar 28, 2011
  Joined: Dec 12, 2010
  Messages: 92
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Ipi hiyo naomba niambie wangu!7557]kuna blog moja ukiiweka huko kuna kila aina ya ushauri mzuri na mbaya maana naamini wachangiaji wake wengi ni washinda fb:lol:[/QUOTE]
   
 12. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #12
  Mar 28, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  anajichoresha kwa nani sasa?
  Huyo dada haishi kwa kuogopa watu ndio maana hana wasiwasi.
  Nyie ndio mnaopoteza muda kumchora wakati mwenzenu hana tym na nyie. Anafanya mambo yake anavyojua.
   
 13. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #13
  Mar 28, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  ataumia sana,manake si wenye sura mbaya ndo tunawekwa ndani.....hatusumbuliwi sana na tukipendwa tunapendeka na kushkilia haswa...l.o.l
   
 14. Kaka Mpendwa

  Kaka Mpendwa JF-Expert Member

  #14
  Mar 28, 2011
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 771
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  aisee, dunia ina mambo, kuna ukweli hapo dada Michelle,
  za kupotea??
  sijaisoma sana michango yako? ni majukumu au ?
   
 15. Kaka Mpendwa

  Kaka Mpendwa JF-Expert Member

  #15
  Mar 28, 2011
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 771
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Ingawa sijaelewa hii mada pamoja na kujitahidi kote.. ningependa kujua JINSIA yako (me/ke)?
   
 16. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #16
  Mar 28, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Red and bolded ndo umbea nnaongelea!Kama kaandika yeye hayo maneno ina maana anajua kwamba kuna mwenzake na ndiye anaempiga madongo kwamba ni mmbaya!!!
  Narudia tena...acha umbea!!!Status za Facebook na zibaki Facebook!!!
   
 17. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #17
  Mar 28, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  dunia ina mabo kweli kweli mpendwa.....vipi utapumzika lini maombi tuzungumze jamani?
  nipo tele,majukumu na kuchoka kunanifanya nisiwe kama zamani lakini nipo sana Mpendwa!
  natumai u mzima!
   
 18. Kaka Mpendwa

  Kaka Mpendwa JF-Expert Member

  #18
  Mar 28, 2011
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 771
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  dunia duara.. hapo nipo kwenye maombi yako...lol,
  nafikiri nitaendelea kufanya maombi tena ili tujue nini cha kuzungumza..
  pole na majukumu, sijui ni majukumu gani?
  ..mie mzima
   
 19. Kaka Mpendwa

  Kaka Mpendwa JF-Expert Member

  #19
  Mar 28, 2011
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 771
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Lizzy, taratibu..mwenzio anaona huruma
   
 20. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #20
  Mar 28, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  nisikusumbue jamani uendelee na maombi.....
  ukishajibiwa mimi na wewe tuzungumze nini naomba uni PM
  kwasasa naaanda jimbo kwa ajili ya 2015,ndo majukumu yangu...!gd9t!!!
   
Loading...